Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,872
- 34,363
Nenda kapime Hospitali huenda ni dalili ya fangasi sehemu za siri au UTI hujapona vizuri kapime ksiha uje utupe feedback.maji yanayonitoka ni maji yasiyo na rangi, yapo Kama Maji ya bomba,au ya kunywa
hayanuki
hajachuruziki, yanatoka tu yanaloanisha chupi inakua na unyevu mwingi
nutaenda kupima Ila u.t.I dawa zake sinywi tena kipindi hiki kwakweli.Nenda kapime Hospitali huenda ni dalili ya fangasi sehemu za siri au UTI hujapona vizuri kapime ksiha uje utupe feedback.
Kapime tena hayo Maradhi ya UTI. Maradhi ya UTI kwa dawa za Hospitali utatumia mpaka utachoka hutopona kwani dawazikiishanguvu UTı unakureudia tena Dawa za kuweza kumaliza Maradhi ya UTI ni dawa za Asili Tiba mabadala ukitumia Dawa zangu kw amuda wa siku 21 huanmaradhi ya UTI na wala maradhi ya Zinaa. Kuna mtu inamtibia hayo maradhi ya UTI ametumia dawa za hospitali huu sasa ni mwaka wa 2 hajapona anaanza na dawa zangu na atapona kw asiku 21 tu.nutaenda kupima Ila u.t.I dawa zake sinywi tena kipindi hiki kwakweli.
nmechoma
tatizo tiba mbadala garama zenu hatuziwezi sisi tusio na helaKapime tena hayo Maradhi ya UTI. Maradhi ya UTI kwa dawa za Hospitali utatumia mpaka utachoka hutopona kwani dawazikiishanguvu UTı unakureudia tena Dawa za kuweza kumaliza Maradhi ya UTI ni dawa za Asili Tiba mabadala ukitumia Dawa zangu kw amuda wa siku 21 huanmaradhi ya UTI na wala maradhi ya Zinaa. Kuna mtu inamtibia hayo maradhi ya UTI ametumia dawa za hospitali huu sasa ni mwaka wa 2 hajapona anaanza na dawa zangu na atapona kw asiku 21 tu.
Pole sana Dawa yangu mimi nikikupa unapona kabisa ndio maana ikawa ni Dawa ya gharama tofauti na dawa za Hospitali munapewa haziponyeshi Maradhi. Dawa za Hospitali zinakufanya kila siku unakuwa ni mteja wa kununuwa dawa kwenye maduka ya dawa aka (Pharmacy) na huponi. Kuna Mama mmoja Mweupe huku nilipo nje ughaibuni anaumwa na maradhi ya kisukari,maradhi macho maradhi kwenye tumbo mfuko wa kizazi na ana matatizo kwenye ubongo wake hivi sasa anatumia dawa miaka 30 hapona ninamwambia njoo nikutibie mimi upate kupona hataki kwa hiyo mtu kama huyo ana hiyari agharamie kuzinunuw adawa za hospitali kw apesa nyingi na haponi kuliko dawa zangu za asili? nimemuacha ana vidonge nyumbani kwake vinafika kilo 10 na anakula kila siku haponi.tatizo tiba mbadala garama zenu hatuziwezi sisi tusio na hela
mmmmhNdio maana sitakagi kunyonya uke wa MTU...wanawake wana magonjwa mengi sana aisee kila Kwa kujidai sasa khaaaa
asanteePole sana
Haya kipenzi nimekuonea huruma nenda kapime tena UTI wakikwambia bado haujapona njoo nitakuandikia Dawa uende ukanunuwe wewe mwenyewe sipo upo mjini Dares-Salaam? fanya hivyo nilivyo kwambia kisha unitafute inbox ya hapa Jamii Forums nipate kukusaidia kipenzi.Nina kutakia Asubuhi nje bye.asantee
asantee sanaHaya kipenzi nimekuonea huruma nenda kapime tena UTI wakikwambia bado haujapona njoo nitakuandikia Dawa uende ukanunuwe wewe mwenyewe sipo upo mjini Dares-Salaam? fanya hivyo nilivyo kwambia kisha unitafute inbox ya hapa Jamii Forums nipate kukusaidia kipenzi.Nina kutakia Asubuhi nje bye.
asantePole
Ikiwa ukatikwa na majimaji meupe yasio naharufu ukeni yasio mengi sana hiyo ni ishara ya kuwa unapata hisia za kuwa na mwenza hivyo ni hali yakawaida ila ni vema yanapotoka majimaji hayo kuzingatia Sana usafi kwakuwa unakua kwenye hatari kubwa ya kupata magonjwa endapo utashare choo kichafu hivyo ni vema kuwa makini binafsi, kwa sasa huumwi lolote kwa mabadiliko hayo ni kumiss tu mtu flan [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]Habari:
Jf doctors na wadau wengine..
ningependa kuuliza kuhusu mabadiliko ya mwili wangu,Kama kuna mmoja wenu anafahamu.
Tangu juzi kila asubuhi na mchana mida Fulani, yananitoka maji maji meupe ya kiasi cha kuloanisha ukeni na nguo ya ndani Ila sio yanavuja mpaka nguo za nje...
ni meupe Kama maji ya kunywa ,meupe kabisa
na hayana harufu kabisa.
Ila ukiyashika inakua Kama maji baada ya mda yanaganda na kunata nata..
ni ishara ya nini ? au Nina tatizo mahala,? je yana madhara?
(nimetoka kumaliza dozi ya u.t.i jana , piroxicam &nitrofurantion)
hahaha labdaIkiwa ukatikwa na majimaji meupe yasio naharufu ukeni yasio mengi sana hiyo ni ishara ya kuwa unapata hisia za kuwa na mwenza hivyo ni hali yakawaida ila ni vema yanapotoka majimaji hayo kuzingatia Sana usafi kwakuwa unakua kwenye hatari kubwa ya kupata magonjwa endapo utashare choo kichafu hivyo ni vema kuwa makini binafsi, kwa sasa huumwi lolote kwa mabadiliko hayo ni kumiss tu mtu flan [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
najua nikienda watanipa midawa, wakati nmetoka kwenye doziMuwe mnaanzia hospitali kabla ya kuja huku, usikae ukaridhika kwa ushauri wa JF, nenda hospitali ili ujiridhishe mwenyewe.
Aisee umenisisimua mwili yani navuta picha ..mwe mweHabari:
Jf doctors na wadau wengine..
ningependa kuuliza kuhusu mabadiliko ya mwili wangu,Kama kuna mmoja wenu anafahamu.
Tangu juzi kila asubuhi na mchana mida Fulani, yananitoka maji maji meupe ya kiasi cha kuloanisha ukeni na nguo ya ndani Ila sio yanavuja mpaka nguo za nje...
ni meupe Kama maji ya kunywa ,meupe kabisa
na hayana harufu kabisa.
Ila ukiyashika inakua Kama maji baada ya mda yanaganda na kunata nata..
ni ishara ya nini ? au Nina tatizo mahala,? je yana madhara?
(nimetoka kumaliza dozi ya u.t.i jana , piroxicam &nitrofurantion)
hahahahahahaAisee umenisisimua mwili yani navuta picha ..mwe mwe
Kumbe bora ukae na tatizo kuliko kunywa dawa!!!! Kila la kheri.najua nikienda watanipa midawa, wakati nmetoka kwenye dozi