Maji meupe ukeni

Maji meupe ukeni

maji yanayonitoka ni maji yasiyo na rangi, yapo Kama Maji ya bomba,au ya kunywa
hayanuki
hajachuruziki, yanatoka tu yanaloanisha chupi inakua na unyevu mwingi
Nenda kapime Hospitali huenda ni dalili ya fangasi sehemu za siri au UTI hujapona vizuri kapime ksiha uje utupe feedback.
 
Nenda kapime Hospitali huenda ni dalili ya fangasi sehemu za siri au UTI hujapona vizuri kapime ksiha uje utupe feedback.
nutaenda kupima Ila u.t.I dawa zake sinywi tena kipindi hiki kwakweli.
nmechoka
 
nutaenda kupima Ila u.t.I dawa zake sinywi tena kipindi hiki kwakweli.
nmechoma
Kapime tena hayo Maradhi ya UTI. Maradhi ya UTI kwa dawa za Hospitali utatumia mpaka utachoka hutopona kwani dawazikiishanguvu UTı unakureudia tena Dawa za kuweza kumaliza Maradhi ya UTI ni dawa za Asili Tiba mabadala ukitumia Dawa zangu kw amuda wa siku 21 huanmaradhi ya UTI na wala maradhi ya Zinaa. Kuna mtu inamtibia hayo maradhi ya UTI ametumia dawa za hospitali huu sasa ni mwaka wa 2 hajapona anaanza na dawa zangu na atapona kw asiku 21 tu.
 
USHAURI: Njia asili ya kupunguza tatizo la kutokwa na ute mweupe sehemu za siri

Kutokwa na majimaji meupe yasiyo na rangi wala harufu mbaya katika sehemu za siri za kike, ni jambo la kawaida kwa wasichana na wanawake wenye afya.

Ila majimaji hayo yakiwa mengi sana kiasi cha kuchilizika mapajani na kulowanisha kabisa nguo za ndani, hali hiyo yaweza kuwa si ya kawaida. Au maji hayo yakiwa yanayowasha au kuwa na harufu mbaya au yaliyoganda kama maziwa ya mgando hilo huweza kuwa tatizo la uambukizo fangasi au magonjwa ya zinaa kama vile kisonono.

Uwepo wa unyevunyevu sehemu za siri kwa muda mrefu huweza kusababisha harufu mbaya kutokana na kushambuliwa na bakteria wanaokaa na kuzaliana kwenye ngozi. Harufu ambayo husababisha usumbufu kwa mhusika, lakini pia na watu wake wengine wa karibu.

Hali huweza kupunguzwa au kumalizwa kwa msichana kunawa mara kwa mara kwa maji na sabuni isiyokuwa na kemikali kali na kujikausha kwa kitambaa safi cha nguo ya pamba.

Aidha wataalam wa afya wanaeleza kuwa mwanamke anaweza kupunguza madhara ya tatizo hilo kwa kuvaa nguo za ndani zenye uwezo wa kunyonya unyevunyevu hasa zile zenye asili ya pamba au zinazopitisha hewa kupitia matundu madogo madogo.

Pamoja na hayo, msichana mwenye tatizo hili anashauriwa kutumia juisi yenye mchanganyiko wa matunda mbalimbali angalau kwa wiki tatu mfululizo hali ambayo husaidia kuimarisha kinga za mwili na kupambana na maambukizi hayo
chanzo.Dr.Mandai
 
Kapime tena hayo Maradhi ya UTI. Maradhi ya UTI kwa dawa za Hospitali utatumia mpaka utachoka hutopona kwani dawazikiishanguvu UTı unakureudia tena Dawa za kuweza kumaliza Maradhi ya UTI ni dawa za Asili Tiba mabadala ukitumia Dawa zangu kw amuda wa siku 21 huanmaradhi ya UTI na wala maradhi ya Zinaa. Kuna mtu inamtibia hayo maradhi ya UTI ametumia dawa za hospitali huu sasa ni mwaka wa 2 hajapona anaanza na dawa zangu na atapona kw asiku 21 tu.
tatizo tiba mbadala garama zenu hatuziwezi sisi tusio na hela
 
Ndio maana sitakagi kunyonya uke wa MTU...wanawake wana magonjwa mengi sana aisee kila Kwa kujidai sasa khaaaa
 
tatizo tiba mbadala garama zenu hatuziwezi sisi tusio na hela
Pole sana Dawa yangu mimi nikikupa unapona kabisa ndio maana ikawa ni Dawa ya gharama tofauti na dawa za Hospitali munapewa haziponyeshi Maradhi. Dawa za Hospitali zinakufanya kila siku unakuwa ni mteja wa kununuwa dawa kwenye maduka ya dawa aka (Pharmacy) na huponi. Kuna Mama mmoja Mweupe huku nilipo nje ughaibuni anaumwa na maradhi ya kisukari,maradhi macho maradhi kwenye tumbo mfuko wa kizazi na ana matatizo kwenye ubongo wake hivi sasa anatumia dawa miaka 30 hapona ninamwambia njoo nikutibie mimi upate kupona hataki kwa hiyo mtu kama huyo ana hiyari agharamie kuzinunuw adawa za hospitali kw apesa nyingi na haponi kuliko dawa zangu za asili? nimemuacha ana vidonge nyumbani kwake vinafika kilo 10 na anakula kila siku haponi.
 
Haya kipenzi nimekuonea huruma nenda kapime tena UTI wakikwambia bado haujapona njoo nitakuandikia Dawa uende ukanunuwe wewe mwenyewe sipo upo mjini Dares-Salaam? fanya hivyo nilivyo kwambia kisha unitafute inbox ya hapa Jamii Forums nipate kukusaidia kipenzi.Nina kutakia Asubuhi nje bye.
 
asantee sana
 
Habari:
Jf doctors na wadau wengine..
ningependa kuuliza kuhusu mabadiliko ya mwili wangu,Kama kuna mmoja wenu anafahamu.

Tangu juzi kila asubuhi na mchana mida Fulani, yananitoka maji maji meupe ya kiasi cha kuloanisha ukeni na nguo ya ndani Ila sio yanavuja mpaka nguo za nje...
ni meupe Kama maji ya kunywa ,meupe kabisa
na hayana harufu kabisa.
Ila ukiyashika inakua Kama maji baada ya mda yanaganda na kunata nata..

ni ishara ya nini ? au Nina tatizo mahala,? je yana madhara?
(nimetoka kumaliza dozi ya u.t.i jana , piroxicam &nitrofurantion)
Ikiwa ukatikwa na majimaji meupe yasio naharufu ukeni yasio mengi sana hiyo ni ishara ya kuwa unapata hisia za kuwa na mwenza hivyo ni hali yakawaida ila ni vema yanapotoka majimaji hayo kuzingatia Sana usafi kwakuwa unakua kwenye hatari kubwa ya kupata magonjwa endapo utashare choo kichafu hivyo ni vema kuwa makini binafsi, kwa sasa huumwi lolote kwa mabadiliko hayo ni kumiss tu mtu flan [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
hahaha labda
 
Habari:
Jf doctors na wadau wengine..
ningependa kuuliza kuhusu mabadiliko ya mwili wangu,Kama kuna mmoja wenu anafahamu.

Tangu juzi kila asubuhi na mchana mida Fulani, yananitoka maji maji meupe ya kiasi cha kuloanisha ukeni na nguo ya ndani Ila sio yanavuja mpaka nguo za nje...
ni meupe Kama maji ya kunywa ,meupe kabisa
na hayana harufu kabisa.
Ila ukiyashika inakua Kama maji baada ya mda yanaganda na kunata nata..

ni ishara ya nini ? au Nina tatizo mahala,? je yana madhara?
(nimetoka kumaliza dozi ya u.t.i jana , piroxicam &nitrofurantion)
Aisee umenisisimua mwili yani navuta picha ..mwe mwe
 
Back
Top Bottom