Smart911
Platinum Member
- Jan 3, 2014
- 135,167
- 160,806
Una Bacteria kwenye ukee...maambukizi gani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una Bacteria kwenye ukee...maambukizi gani
mhUna Bacteria kwenye ukee...
Nenda kapime... Wakupe dawa za kuingiza huko ukeeni... Ukee hautakiwi utoe maji maji... Labda pale tu umekuwa sexual arouse... Au kushikwa na akshi..
kwakweli dawa za huko hapana.Nenda kapime... Wakupe dawa za kuingiza huko ukeeni... Ukee hautakiwi utoe maji maji... Labda pale tu umekuwa sexual arouse... Au kushikwa na akshi..
Ukienda watakushauri vizuri sana... Kwa wanaozitumia hizo dawa wanasema hata hujui kama umeingiza kitu...kwakweli dawa za huko hapana.
nmezitumia mwezi uliopitaUkienda watakushauri vizuri sana... Kwa wanaozitumia hizo dawa wanasema hata hujui kama umeingiza kitu...
Hujapona vizuri...nmezitumia mwezi uliopita
sawanitapimaPima na mimba ni kawaida ila inaWatokea sana wanawake wajawazto
Kama hujakutana na mwanaume muda mrefu hiyo pia inaweza ikawa sababu. ukigegedana mara mbili tatu hutayaona tena hayo maji fanya halafu lete mrejeshomimba sizani ,sijakutana na mwanaume muda kidogo...
saw a nitajitahidiKama hujakutana na mwanaume muda mrefu hiyo pia inaweza ikawa sababu. ukigegedana mara mbili tatu hutayaona tena hayo maji fanya halafu lete mrejesho
Uti nafikiri ni antibiotic. Antibiotics huwa zinauwa friendly bacteria mwilini. Friendly bacteria husaidia digestion na kuzuia ongezeko la bad bacteria mwilini, kwahiyo unashauriwa kuwarudisha kwa kunywa yogurt kwa wingi ili balance irudi.nmemaliza dozi ya u.t.I jana
maziwa mtindi?Uti nafikiri ni antibiotic. Antibiotics huwa zinauwa friendly bacteria mwilini. Friendly bacteria husaidia digestion na kuzuia ongezeko la bad bacteria mwilini, kwahiyo unashauriwa kuwarudisha kwa kunywa yogurt kwa wingi ili balance irudi.
Ndiyo maziwa mtindi.maziwa mtindi?
Kama hana mume afanye tu! Si ndiyo umala wenyewe!Kama hujakutana na mwanaume muda mrefu hiyo pia inaweza ikawa sababu. ukigegedana mara mbili tatu hutayaona tena hayo maji fanya halafu lete mrejesho
Una tatizo linalojulikana kama "Leucorrhea"na hayo maji yanatoka kwenye kizazi(uterus).Mara nyingi inatokana na kuwa na infection kwenye mfuko wa kizazi(endometriosis).Vimelea wanaohusika ni bacteria au fungi).Wahi hospitali kwa matibabu.Habari:
Jf doctors na wadau wengine..
ningependa kuuliza kuhusu mabadiliko ya mwili wangu,Kama kuna mmoja wenu anafahamu.
Tangu juzi kila asubuhi na mchana mida Fulani, yananitoka maji maji meupe ya kiasi cha kuloanisha ukeni na nguo ya ndani Ila sio yanavuja mpaka nguo za nje...
ni meupe Kama maji ya kunywa ,meupe kabisa
na hayana harufu kabisa.
Ila ukiyashika inakua Kama maji baada ya mda yanaganda na kunata nata..
ni ishara ya nini ? au Nina tatizo mahala,? je yana madhara?
(nimetoka kumaliza dozi ya u.t.i jana , piroxicam &nitrofurantion)

saw a nitakunywa, ya dukani yanafaa?Ndiyo maziwa mtindi.
asante! lakini yananitoka maji meupe Kama maji ya kunywa, sio Kama maziwa mtindiUna tatizo linalojulikana kama "Leucorrhea"na hayo maji yanatoka kwenye kizazi(uterus).Mara nyingi inatokana na kuwa na infection kwenye mfuko wa kizazi(endometriosis).Vimelea wanaohusika ni bacteria au fungi).Wahi hospitali kwa matibabu.
maji yanayonitoka ni maji yasiyo na rangi, yapo Kama Maji ya bomba,au ya kunywa
Wanawake: Tatizo la Kutokwa na Uchafu Ukeni na jinsi ya kukabiliana nalo
Hakika mapenzi ni matamu hakuna asiyelifahamu hili na mapenzi kwa kawaida hushirikisha vishiriki ngono kama kupapasana, kubusiana na hata mambo fulani ya kula koni na kuzama chumvini. Hakika uke ni sehemu muhimu sana ya mwanamke inayoweza kuamsha hisia za mwanamme wake ama kuzipoteza,kumthaminisha ama kumshusha dhamani endapo mwanamke atashindwa kujiweka katika hali ya usafi ama kukabiliana na matatizo ya kutokwa na uchafu ukeni. Hivyop kwa kutambua hili leo nimeamua kuandika mada hii ili kuwasaidia wale wote wenye tatizo kama hili.....
Kimsingi wanawake wote hutokwa na uchafu kidogo ukeni ambao ni mweusi kama maji, maziwa au njano ambao humfanya ama awashe au atowe harufu mbaya pale anaposhindwa kukabiriana na hali ya usafi wake. Hata hivyo, wanawake wengi kipindi cha ujauzito hukumbwa na hali hii mara kwa mara na huwashwa. Uchafu husababishwa na mambo mbalimbali ambapo mengi husumbua japo si hatari. Zifuatazo ni aina za uchafu ambao wengi huwakumba na jinsi unavyoweza kukabiriana na tatizo hilo.
Uchafu wa majimaji wenye rangi mchanganyiko wa kijani na njano au nyeupe.
Mwanamke aliyena tatizo la kutokwa na aina hii ya uchafu hujikuta ananuka na kujikuna sehemu zake za siri, na huu unawezekanai kuwa ni ugongwa wa Trichomos kwani pindi anaposikia haja ndogo hujisikia kuchomwa sana na maumivu ambapo wakati mwingine hujikuta anavimba.
Uchafu wa aina hii huonekana kama picha kushoto inavyoonyesha hivyo mwanamke ambaye atakumbwa na tatizo kama hili ni rahisi kumfanya mpenzi wake apoteze hamu ya kushiriki naye tendo la ndoa na kama ni mpenzi basi huweza kujikuta kila kukicha anashindwa kudumu na mwanaume kwani hukimbiwa kutokana na kushindwa kwao kukabiriana na tatizo hilo.
Endapo una tatizo hili ni muhimu sana kuhakikisha unaweka viungo vya uke wako katika hali ya usafi wa kutosha, na ni vema unaposafisha uke wako uhakikishe unatumia majiya uvuguvugu pamoja na siki au maji la limao yaliyochanganywa na maji ambapo unapaswa kutumia vijiko 3 vya siki kwenye maji lita moja yaliyochemshwa. Ni muhimu mgojwa asafishe uke wake mara moja hadi tatu kila siku mpaka apone!
Hata hivyio endapo tatizo hilo linakuwa kubwa, mgonjwa anapaswa kutumia dawa za kuchomeka ukeni ambazo zina metronidazole au dawa zingine zinazoshauriwa na trichomonas. Ikiwa hali mbaya sana anapaswa kumeza metronidazole kwa kiasi cha gram mbili [meza kwa mpigo].
![]()
Aidha, inawezekana kuwa mwanaume ana ugonjwa pia wa trichomonas ingawa hajisikii hali ya kuumwa hata kidogo hivyo endaapo mwanamke atarudiwa na ugonjwa huu mara baad a ya kujitibu basi anapaswa kurudia kumeza gram mbili za metronidazole, lakini ni kama ugonjwa huo mkubwa.
Uchafu ambao uko kama jibini au siagi na unanuka kama uyoga au mkate.
Hali hii inapojitokeza kwa mwanamke hujikuta anawashwa sana ukeni na midomo ya uke huwa na rangi nyekundu na huuma sana ambapo pindi mhusika napotaka kukojoa husikia maumivu makali sana. Hali hii huwakumba sana wanawake wajawazito pamoja na wale wenye ugonjwa wa kisukari, wale waliokuwa wakitumia antibiotics au vidonge vya kuzuia ujauzito.
Endapo una tatizo hili ni muhimu sana kuhakikisha unaweka viungo vya uke wako katika hali ya usafi wa kutosha, na ni vema unaposafisha uke wako uhakikishe unatumia maji pamoja na sikiau GV vijiko viwili kwa nusu lita au kutumia vidonge viwili vya nystatin vya kuchomeka ukeni au dawa nyingine ya thrush kama siyo kuweka maziwa mgando yaliyochachuka kwenye uke husemakana ni dawa nzuri ya kienyeji inayotibu tatizo hili.
Ukiwa na Shida yoyote ile
Usipo pona kwa Dawa za Hospitali nitafute mimi nipate kukutibia upate kupona ukihitaji matibabu yangu
Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Herbalist Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe. fewgoodman@hotmail.com What's App na Viber +905344508169