Maji meupe ukeni

Maji meupe ukeni

Chukua ushauri simple na wa kweli kabisa,juzi juzi ulikuwa na shida ya hedhi ulileta uzi humu tukakushauri,sasa hivi maji meupe,pliz inawawezekana tatizo ni kubwa zaidi ya hapo,nenda kamuone mtaalamu wa wanawake,sijui wanamuitaje mimi mwenzenu nimechelewa sikusoma!gynecologist
sawa asante kwa ushauri
 
Habari:
Jf doctors na wadau wengine..
ningependa kuuliza kuhusu mabadiliko ya mwili wangu,Kama kuna mmoja wenu anafahamu.

Tangu juzi kila asubuhi na mchana mida Fulani, yananitoka maji maji meupe ya kiasi cha kuloanisha ukeni na nguo ya ndani Ila sio yanavuja mpaka nguo za nje...
ni meupe Kama maji ya kunywa ,meupe kabisa
na hayana harufu kabisa.
Ila ukiyashika inakua Kama maji baada ya mda yanaganda na kunata nata..

ni ishara ya nini ? au Nina tatizo mahala,? je yana madhara?
(nimetoka kumaliza dozi ya u.t.i jana , piroxicam &nitrofurantion)
Gono hilo
 
Pole sana rafiki
 
Back
Top Bottom