Simba wanagusa ball mzee lazima u appriciate kwanzaYanga watafute kocha wa kueleweka haraka sana. Kuanzia club bingwa tulipita kimuujiza, leo timu imeboronga haeileweki inacheza nini. Mbinu mbovu za mwalimu ndio zimeipa Simba ushindi wa bwerere.
Hiyo ni elnino🤣🤣🤣Huwezi kuzuia mafuriko 😊
Boka leo kakubali kwa gueye! Huwa anajiina anamumudu lakini leo katema bungo! harafu basi tu simba game nyingi sana huwa wanastahili ushindi dhidi ya yanga! bahati huwa sio yao tuKubabake 😀
Nimeangalia mwenendo tokea club bingwa, Simba sio timu ya kumfanya anakaa golini dakika zote.Simba wanagusa ball mzee lazima u appriciate kwanza
Yanga wanategemea sana nje ya uwanja, simba ni timu ya mpira tu ipo kisoka zaidi haijafungamana na uswahili, ndio maana soka lao zuri kulitizamaNimeangalia mwenendo tokea club bingwa, Simba sio timu ya kumfanya anakaa golini dakika zote.
Hizi ni hoja za mtaani, hazina uhalisia.Yanga wanategemea sana nje ya uwanja, simba ni timu ya mpira tu ipo kisoka zaidi haijafungamana na uswahili, ndio maana soka lao zuri kulitizama
Lete za kwako basi mbona mipovu tena?Hizi ni hoja za mtaani, hazina uhalisia.
Akifungwa unaandika Uzi wa kuacha uanachama😁😁😁,,😀 mimi ni mwanachama hai wa SIMBA SC
Ushindi wao papachu km wa kimkazi🤣🤣kwani ukikubali Simba inapiga pira biriyani tutakuua🤣
ok.🐒Maji na mafuta yameanza kutengana😀
View attachment 3688139