Sana anko wangu mpanzu fundiHope umeinjoi pira biriyani mkališ
Wamepigiwa soka soft na kufungwa magori laini kabisa yaani unatafutwa kimpira na kimbinu unajikuta unabomolewa mbao mbili saaaaaafiš jamaa awe muwazi tu aache porojo
Situmii, na hata ningekuwa natumia sizitakiSawa
HongeraNilisema naacha kuzungumizia maswala ya sport kwa kipindi kisichojulikana š
Siwezi kuacha uanachama.
SITAKI š, ngoja nikalale tuš kuwa huru usiogope basi fanya kuzipokea umpee shabiki mwenZio wa lialia
SIMBA TAMU KULIKO MAPENZIš„š„
Bado mapema mnoooWeka akiba mtani šš