Sana anko wangu mpanzu fundiHope umeinjoi pira biriyani mkaliπ
Wamepigiwa soka soft na kufungwa magori laini kabisa yaani unatafutwa kimpira na kimbinu unajikuta unabomolewa mbao mbili saaaaaafiπ jamaa awe muwazi tu aache porojo
Situmii, na hata ningekuwa natumia sizitakiSawa
HongeraNilisema naacha kuzungumizia maswala ya sport kwa kipindi kisichojulikana π
Siwezi kuacha uanachama.
SITAKI π, ngoja nikalale tuπ kuwa huru usiogope basi fanya kuzipokea umpee shabiki mwenZio wa lialia
SIMBA TAMU KULIKO MAPENZIπ₯π₯
Bado mapema mnoooWeka akiba mtani ππ