Mung Chris
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 3,391
- 3,849
Serikali Serikali Serikali, mrudisheni Waziri Kalemani haya tunayo yapitia hata kama ni kukarabati, inamaana huu ukarabati ndio utafanya umeme uwe wa bei rahisi au utakuwa na nguvu zaidi ya kawaida au utakuwaje mwenzenu sijaelewa
Mboga zote na vyakula kwenye friji tumeanza kuvila ili viishe pamoja na kwamba vilikuwa vya bajeti ya wiki na mwezi.
Tusaidieni umeme ukatike saa1 asubhi kurudishwa jioni kweli, haya ma jenereta yanatuharibia vyombo vya ndani, MAJI sasa ndio hatuta zungumzia.