Mung Chris
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 3,391
- 3,849
Nafikiri kipindi cha nyuma chakula, malazi na mavazi(kama sijakosea) ndivyo vilikua vitu vya msingi. Maisha yamehadilika sana. Matumizi na internet, simu, uwepo wa umeme, utabiri wa hali ya hewa unaoeleweka ni miongoni mwa vitu vya msingi katika maisha ya binadamu wa sasa.Maji na umeme kwa namna neno 'janga' lilivyotumika kwenye uzi huu hivyo vitu haviwezi kuwa janga kwani vina mbadala wake kutatua ukosefu wake, kuna maelfu wanaishi bila hizo huduma na maisha yanaenda.
Ili kitu kiwe janga ni lazima watu wafe kwa wingi. Kuna majanga ya asili na majanga yanayosababishwa na binadamu, majanga ya asili ni kimbunga, ukame, tetemeko la ardhi, na matatizo mengine yanayofanana na hayo ambayo huibuka na kuleta shida kwa viumbe hai.
Majanga yasababishwayo na binadamu ni vita na mengine ambayo humpa changamoto binadamu kuyatatua.
Sasa haya ya kukatika umeme na maji hayaui watu kiasi cha kutisha jenereta na sola zipo, mito, visima na mabwawa yapo
Maji uyatoe kwenye maelezo yako maji ni muhimu huwezi kuishi bila maji ukiona kuna changamoto za za maji basi ujue vyanzo vimepungua sio mito wala mabwawaMaji na umeme kwa namna neno 'janga' lilivyotumika kwenye uzi huu hivyo vitu haviwezi kuwa janga kwani vina mbadala wake kutatua ukosefu wake, kuna maelfu wanaishi bila hizo huduma na maisha yanaenda.
Ili kitu kiwe janga ni lazima watu wafe kwa wingi. Kuna majanga ya asili na majanga yanayosababishwa na binadamu, majanga ya asili ni kimbunga, ukame, tetemeko la ardhi, na matatizo mengine yanayofanana na hayo ambayo huibuka na kuleta shida kwa viumbe hai.
Majanga yasababishwayo na binadamu ni vita na mengine ambayo humpa changamoto binadamu kuyatatua.
Sasa haya ya kukatika umeme na maji hayaui watu kiasi cha kutisha jenereta na sola zipo, mito, visima na mabwawa yapo
Serikali Serikali Serikali, mrudisheni Waziri Kalemani haya tunayo yapitia hata kama ni kukarabati, inamaana huu ukarabati ndio utafanya umeme uwe wa bei rahisi au utakuwa na nguvu zaidi ya kawaida au utakuwaje mwenzenu sijaelewa
Mboga zote na vyakula kwenye friji tumeanza kuvila ili viishe pamoja na kwamba vilikuwa vya bajeti ya wiki na mwezi.
Tusaidieni umeme ukatike saa1 asubhi kurudishwa jioni kweli, haya ma jenereta yanatuharibia vyombo vya ndani, MAJI sasa ndio hatuta zungumzia.
Umeongea pumba, kuna watu wanategemea umeme ndo waingize kipato chao cha kila siku, umeme unakatika saa moja asubui unarudi saa moja jioni kwa wiki moja mfululizo huyo mtu ataishi vipi?Maji na umeme kwa namna neno 'janga' lilivyotumika kwenye uzi huu hivyo vitu haviwezi kuwa janga kwani vina mbadala wake kutatua ukosefu wake, kuna maelfu wanaishi bila hizo huduma na maisha yanaenda.
Ili kitu kiwe janga ni lazima watu wafe kwa wingi. Kuna majanga ya asili na majanga yanayosababishwa na binadamu, majanga ya asili ni kimbunga, ukame, tetemeko la ardhi, na matatizo mengine yanayofanana na hayo ambayo huibuka na kuleta shida kwa viumbe hai.
Majanga yasababishwayo na binadamu ni vita na mengine ambayo humpa changamoto binadamu kuyatatua.
Sasa haya ya kukatika umeme na maji hayaui watu kiasi cha kutisha jenereta na sola zipo, mito, visima na mabwawa yapo
Habari.Sehemu gani hiyo yenye changamoto ya umeme? Maji kuna mgao sehemu zenye miiunuko ,mimi sehemu nayokaa maji yapo hayakatiki kabisa na hata umeme ukikatika basi TANESCO wanatoa taarifa siku 3 kabla kwamba kutakuwa na maintanance! Tatizo langu na tanesco ni moja tu delay katika kuunganisha watu umeme.
Nadhani uitwe uzembe mkuuMaji na umeme kwa namna neno 'janga' lilivyotumika kwenye uzi huu hivyo vitu haviwezi kuwa janga kwani vina mbadala wake kutatua ukosefu wake, kuna maelfu wanaishi bila hizo huduma na maisha yanaenda.
Ili kitu kiwe janga ni lazima watu wafe kwa wingi. Kuna majanga ya asili na majanga yanayosababishwa na binadamu, majanga ya asili ni kimbunga, ukame, tetemeko la ardhi, na matatizo mengine yanayofanana na hayo ambayo huibuka na kuleta shida kwa viumbe hai.
Majanga yasababishwayo na binadamu ni vita na mengine ambayo humpa changamoto binadamu kuyatatua.
Sasa haya ya kukatika umeme na maji hayaui watu kiasi cha kutisha jenereta na sola zipo, mito, visima na mabwawa yapo
Na mgeni rasmi wa sherehe hizo anatoka ughaibuni.... tumo kwenye maandalizi kabambe ya kusherehekea miaka 60 ya uhuru wetu kutoka kwa mkoloni!
maelezo mengi na ujuaji usio na maana.Maji na umeme kwa namna neno 'janga' lilivyotumika kwenye uzi huu hivyo vitu haviwezi kuwa janga kwani vina mbadala wake kutatua ukosefu wake, kuna maelfu wanaishi bila hizo huduma na maisha yanaenda.