Maji, Unyevu, Fungus, paa kuvuja na Kemikali za Ujenzi — Changamoto, Uzoefu na Suluhu.

Maji, Unyevu, Fungus, paa kuvuja na Kemikali za Ujenzi — Changamoto, Uzoefu na Suluhu.

michu03

Senior Member
Joined
Dec 1, 2018
Posts
132
Reaction score
95

💧🏗️ C stallion Africa kamili dhidi ya maji, unyevu na matumizi ya kemikali katika ujenzi​

  • Wadau wote wa sekta ya ujenzi – Karibuni!
Wahandisi, mafundi, wakandarasi, estate managers, wamiliki wa majengo, na maduka ya hardware – huu ni mwaliko maalum wa kujadili na kutatua changamoto zinazohusiana na unyevu, maji kupenya, kuvuja kwa mapaa ya zege, matanki, mabwawa, na kuta nchini Tanzania.

Changamoto​

  • Maji kupenya kwenye mapaa ya zege au paa za kuficha (concealed roofs).
  • Kuta na sakafu kutoa ukungu, fangasi na harufu mbaya
  • Matanki ya zege, swimming pools, na dams kuvuja au kupasuka.
  • Misingi ya majengo kuathiriwa na maji ya ardhini (groundwater seepage).
  • Ukosefu wa coating system sahihi unaosababisha kuharibika kwa uchoraji na chuma kuanza kutu.

1768983901449.png

1768984013676.png

Suluhisho la kudumu​

Bidhaa na Teknolojia Tunazotumia​

  • Epoxy Resin Coating Systems – hutoa uso wa kudumu, unaostahimili kemikali, mafuta, na maji; bora kwa sakafu za viwandani, hospitali, maabara, jikoni na mabwawa.
  • Waterproofing Solutions kwa Foundation, Roofs, Pools & Dams–
    • Foundation waterproofing kulinda misingi dhidi ya maji ya chini (groundwater).
    • Roof waterproofing systems kwa paa za zege, vyumba vya juu na balcony.
    • Pool & Dam waterproofing membranes zenye uimara wa juu kwa miradi ya maji.
  • MasterSeal 501 – hulinda zege dhidi ya maji, fangasi, na kemikali.
  • Concrete Admixtures & Accelerators – huongeza uimara, kuzuia ufa, na kurahisisha kazi kwenye mazingira yenye unyevu.
  • Bituminous Membrane Systems – kinga bora ya maji kwa paa, sakafu, basement na tunnels.
  • Protective Coatings (ShieldCryl & Polyurea Systems) – hulinda kuta, dari na chuma dhidi ya jua, mvua, na unyevunyevu.

Mafunzo na uwezeshaji bure​

Kwa mafundi, wakandarasi, estate managers, na maduka ya hardware:
  • Mafunzo ni bure kabisa (onsite au online).
  • Tunawaongezea ujuzi wa kitaalam kuhusu kemikali za ujenzi na matumizi yake sahihi.
  • Tunatoa field training & demonstrations kwenye miradi halisi.
  • Tunawaunganisha mafundi waliopata mafunzo na wateja wanaokuja moja kwa moja C-Stallion Africa.
Tunajenga mtandao wa wataalamu wa waterproofing na epoxy Tanzania nzima.

​

Huduma nyinginezo​

  • Kutoa samples za bidhaa na mafunzo ya matumizi.
  • Kushauri miradi mikubwa na midogo juu ya suluhisho sahihi la maji na unyevu.
  • Inspection & Site Support kwa miradi iliyoathiriwa na maji au fangasi.
  • After-project service kuhakikisha uimara wa mfumo wa ujenzi unaodumu.

Wadau mikoani na nje ya nchi​

Karibuni:
  • Maduka ya Hardware – mafunzo, elimu ya bidhaa na usambazaji.
  • Mafundi na Wakandarasi – mafunzo ya vitendo na fursa za kazi.
  • Estate Managers na Wamiliki wa Majengo – ushauri na ukaguzi wa miradi.

Miradi yetu​

  1. Epoxy Coating kwenye sakafu ya kiwanda – uso laini, salama na usiovuja.

1768984289099.png

​
2. Foundation iliyofanyiwa waterproofing system (Bituminous + MasterSeal).

1768984375059.png

3. Semina ya bure kwa mafundi na wakandarasi, Mwenge – Dar es Salaam.

​

Mawasiliano
Makao Makuu:
Plot No. 43 Block 313, Mwenge Village, P.O. Box 32224, Dar es Salaam, Tanzania
Simu: +255 769 491 446 | +255 753 684 589 | +255 757 008 066
Barua pepe: [email protected]
Tovuti: www.cstallionafrica.co.tz
Instagram / Facebook: @cstallionafrica
 

Attachments

  • 6e63ad18dad16fdc3ce2e285be510616.jpg
    6e63ad18dad16fdc3ce2e285be510616.jpg
    95.8 KB · Views: 45
  • 7fa9a728f3d6ef1e73629a87866b0b35.jpg
    7fa9a728f3d6ef1e73629a87866b0b35.jpg
    106.7 KB · Views: 44
  • IMG_20251011_130638.jpg
    IMG_20251011_130638.jpg
    18 KB · Views: 41
  • images (5).jpeg
    images (5).jpeg
    39.5 KB · Views: 47
Back
Top Bottom