Maji ya Bowser yamepanda bei mara mbili zaidi

Maji ya Bowser yamepanda bei mara mbili zaidi

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,108
Reaction score
10,191
Japo Rais alizindua visima kule Kigamboni, hali huku kijijini kwangu bado ni tete. Maji hayatoki.

Wiki kadhaa zilizopita nilinunua maji ya chumvi kwa Tsh. 20,000 tofauti na bei iliyozoeleka ya Tsh. 12,000 kwa lita 1,000

Baada ya maji kuisha nimewacheki tena wauza maji, wametaja bei mara mbili ya niliyouziwa awali.

Hali ni tete sana. Mbali na kusema kuwa kuna mabadiliko ya Tabia nchi, ila isiwe excuse ya kutuumiza raia kwa kiasi hiki.

Mwenye Bowser anicheki nataka maji
 
Kazindua kisima lakini maji bado kusambazwa nadhani uzinduzi ulikuwa wa kisiasa zaidi
 
Back
Top Bottom