A
Yamekuwa mabaya kweli.Kitambo Sana yalishachakachuliwa na kupigwa feki kibao mitaani
We nunua maji unayoyapenda,hiyo ndio hali ilivyo,ubora unapungua basi unawahamaMaji ya Kilimanjaro hayana tena ile taste (ladha) ya miaka 10 iliyopita, mengi ni ya ladha ya chumvi....
Kampuni ya Kilimanjaro waonye waache uzembe... Hali kadhalika Kampuni ya Sequa maji yao ni muda mrefu wadau kadhaa wamekuwa wakiyalalamikia yananuka harufu ya udongo, kampuni hiyo ipo mkuu, Rombo, Kilimanjaro.
Iongeze umakini..
Wabongo bana kwa kulalamika tu na kuendekeza na kupenda anasa. Nchi ina maziwa mito na sasa hivi mvua za masika zimekubali, bado mnang'ang'ania maji ya chupa.Maji ya Kilimanjaro hayana tena ile taste (ladha) ya miaka 10 iliyopita, mengi ni ya ladha ya chumvi....
Kampuni ya Kilimanjaro waonye waache uzembe... Hali kadhalika Kampuni ya Sequa maji yao ni muda mrefu wadau kadhaa wamekuwa wakiyalalamikia yananuka harufu ya udongo, kampuni hiyo ipo mkuu, Rombo, Kilimanjaro.
Iongeze umakini..
Kama unazungumzia kuchemsha mwenyewe nyumbani, ni best solution lakini kuna muda mtu anakuwa na dharura.Wabongo bana kwa kulalamika tu na kuendekeza na kupenda anasa. Nchi ina maziwa mito na sasa hivi mvua za masika zimekubali, bado mnang'ang'ania maji ya chupa.
Badilikeni bana.
adriz wee ni mbusii
Ukishagusa mali ya mangi unatafuta balaa ona sasa?Kunywa unayo ona ni matamu, kobe wewe
Ahsante kwa kutuunga mkono kibiashara.Maji ni dew drop na meru water.. mengine hata me siyaelewi.
Afu kilimanjaro ya Dar ni mbaya zaidi kheri ya Arusha.. nilitest zote mbiliNi kweli maji hayana ladha kabisa ya zamani, yamechakachukiwa. Walaji wanapotoa maoni yao ni kuwapa alert mapungufu yao. Kama ni wafanyabiashara kweli watachulia hii feedback positive na kubadilika badala ya kuwaza kwamba brand inaharibiwa.
Mwisho wa siku unakuta soko lako limeporomoka na haulewi kwanni. Wabadilike watafute namna yankurudisha taste ya zamani. Ukweli mimi nilishaacha kutumia hiyo brand siku nyingi sana. Na ukiangalia trend hapa watu wengi wanalalamika sana. Wachukue hatua mapema.
😂 Meru au dew dropAhsante kwa kutuunga mkono kibiashara.