rodrick alexander
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 18,360
- 26,244
Kanunue utakuja kumpongeza mtoa madaunachosema kinaweza kuwa kweli ila kumbuka tunaishi kibepari now sio poa kuharibia brand za watu we kama huyaelewi tafuta unayopenda ..easy
Kanunue utakuja kumpongeza mtoa madaunachosema kinaweza kuwa kweli ila kumbuka tunaishi kibepari now sio poa kuharibia brand za watu we kama huyaelewi tafuta unayopenda ..easy
Sasa kwanini makampuni huwa yanakuwa na window ya customer feedback kama kukosoa imekuwa ni kuharibu biashara? Hayo ni maoni binafsi ni lazima yaheshimiwe na kama uongozi utaona wana uwezo wa kuyafanyia kazi basi watayafanyia,tatzo nchi zetu hizi za kimaskini kuanzia viongozi,mashirika,makampuni yamezoea positive feedbacks tu kukosolewa hawapendiunachosema kinaweza kuwa kweli ila kumbuka tunaishi kibepari now sio poa kuharibia brand za watu we kama huyaelewi tafuta unayopenda ..easy
Dew Drop.Thanks again😂 Meru au dew drop
Uko sahihi anayekutukana ni boya tuWala sio kuharibiana biashara. Ni kweli maji ya Kilimanjaro yana chumvi kwa mbali siku hizi. Nao wanajua basi tu
Kusema kweli brand ya Kilimanjaro imeporomka