Sasa kwanini makampuni huwa yanakuwa na window ya customer feedback kama kukosoa imekuwa ni kuharibu biashara? Hayo ni maoni binafsi ni lazima yaheshimiwe na kama uongozi utaona wana uwezo wa kuyafanyia kazi basi watayafanyia,tatzo nchi zetu hizi za kimaskini kuanzia viongozi,mashirika,makampuni yamezoea positive feedbacks tu kukosolewa hawapendi