Maji ya Kilimanjaro yamekata pumzi

Chombo Kutoka Mapinga Bagamoyo
Hill Water, Kifungashio Safi, Maji Yenye Ladha
 
Nikiwa Mbeya,kigoma,katavi maji bora kabisa ni Dew drop moro town udzungwa ametisha sana nikiwa moshi maji bora ni Tanza au sequa #Ova
 
Maji haya Kwa sasa yamepoteza ubora hasa yanayopatikana Dar es salaam.

Yana chumvi na ukakasi, siyapendi.
Very true mpaka nikahisi ni mdomo wangu,
Nikajaribu afya naona yako safi kabisa..
Hizi biashara usipokuwa makini utachezewa michezo mibaya kabisa... Kuna watu kazi yao ni kutengeneza feki ya kila bidhaa yenye jina... Kilichompata konyagi kwenye viroba na chupa ndogo ndio kinampata Kilimanjaro water sasa... Kama asipojiongeza ndio bai bai
Pili ushindani wa kibiashara nao ni muhimu kuangalia mbinu na siri ya mchezo.... Kuna baadhi ya mbinu ni chafu hazifai... Ukibweteka unamalizwa

Jr[emoji769]
 
Hakuna anakataa kuhusu ubora wa maji ya Kilimanjaro, hii habari itawasaidia wamiliki kujua kuna hujuma kubwa inafanyika kuwaharibia jina kwa kuchakachua product yao. Waanze kulifuatilia hili kwa haraka.
 
kibondo na Kakonko kilimanjaro hatuyajui. huku ni maji ya malagarasi ndio habari ya huku

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kilimanjaro water nadhani siku hizi ama wamechimba visima hapahapa dar yatoki Moshi kwenye chem chem tena, au kuna technician amekula rushwa ili aharibu haya maji Kwa manufaa ya makampuni mengine, au yule technician wao wa zamani kahamia makampuni mengine kufuata malipo mazuri
 
Nikiwa Mbeya,kigoma,katavi maji bora kabisa ni Dew drop moro town udzungwa ametisha sana nikiwa moshi maji bora ni Tanza au sequa #Ova
Moshi ni Kilimanjaro pure drinking water, Dar napiga Hill au Canadian Pure kwa sasa, mwanzo ilikuwa uhai na masafi. Mbeya natumiaga Dew drop...bonge la kiburudisho!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…