Doto Dotto
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 3,906
- 2,902
So nowdays unakunywa maji gani sasa?Maji haya Kwa sasa yamepoteza ubora hasa yanayopatikana Dar es salaam.
Yana chumvi na ukakasi, siyapendi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
So nowdays unakunywa maji gani sasa?Maji haya Kwa sasa yamepoteza ubora hasa yanayopatikana Dar es salaam.
Yana chumvi na ukakasi, siyapendi.
Hata ndanda nilikuta maji pouwa na yenye hadhiKwa sasa hakuna maji kama hill water kutoka bagamoyo. Yanafuatia udzungwa then afya
Sent using Jamii Forums mobile app
Maji haya Kwa sasa yamepoteza ubora hasa yanayopatikana Dar es salaam.
Yana chumvi na ukakasi, siyapendi.
Kwenye orodha yangu ya top five, hayapo.Maji haya Kwa sasa yamepoteza ubora hasa yanayopatikana Dar es salaam.
Yana chumvi na ukakasi, siyapendi.
maji ya nyumbani hayo.Naona mawakala wa hill water mpo kazini
Bravo
Sent from my iPhone using JamiiForums
hewaaaaChombo Kutoka Mapinga Bagamoyo
Hill Water, Kifungashio Safi, Maji Yenye Ladha
Maji haya Kwa sasa yamepoteza ubora hasa yanayopatikana Dar es salaam.
Yana chumvi na ukakasi, siyapendi.
Hizi biashara usipokuwa makini utachezewa michezo mibaya kabisa... Kuna watu kazi yao ni kutengeneza feki ya kila bidhaa yenye jina... Kilichompata konyagi kwenye viroba na chupa ndogo ndio kinampata Kilimanjaro water sasa... Kama asipojiongeza ndio bai baiVery true mpaka nikahisi ni mdomo wangu,
Nikajaribu afya naona yako safi kabisa..
Chakachua nikuchakachuee bwaaaaMaji haya Kwa sasa yamepoteza ubora hasa yanayopatikana Dar es salaam.
Yana chumvi na ukakasi, siyapendi.
Hakuna anakataa kuhusu ubora wa maji ya Kilimanjaro, hii habari itawasaidia wamiliki kujua kuna hujuma kubwa inafanyika kuwaharibia jina kwa kuchakachua product yao. Waanze kulifuatilia hili kwa haraka.Hakuba Kampuni yakuweza shindana na Kilimanjaro kwa hapaTanzania. Kilimanjaro ndo.kampuni pekee utakayo ipata nchi nzima,
Hayao mnayo yapigia debe usikute yako hapo Dar tu na sanasana Morogoro na Tanga. Ila Unashindana na Kilimanjaro inayo patikana Tarime, au Kibondo Kigoma au Kankonko mpakanao kabisa na Burundi au kule Katavi
Sent using Jamii Forums mobile app
kibondo na Kakonko kilimanjaro hatuyajui. huku ni maji ya malagarasi ndio habari ya hukuHakuba Kampuni yakuweza shindana na Kilimanjaro kwa hapaTanzania. Kilimanjaro ndo.kampuni pekee utakayo ipata nchi nzima,
Hayao mnayo yapigia debe usikute yako hapo Dar tu na sanasana Morogoro na Tanga. Ila Unashindana na Kilimanjaro inayo patikana Tarime, au Kibondo Kigoma au Kankonko mpakanao kabisa na Burundi au kule Katavi
Sent using Jamii Forums mobile app
Kilimanjaro water nadhani siku hizi ama wamechimba visima hapahapa dar yatoki Moshi kwenye chem chem tena, au kuna technician amekula rushwa ili aharibu haya maji Kwa manufaa ya makampuni mengine, au yule technician wao wa zamani kahamia makampuni mengine kufuata malipo mazuriHizi biashara usipokuwa makini utachezewa michezo mibaya kabisa... Kuna watu kazi yao ni kutengeneza feki ya kila bidhaa yenye jina... Kilichompata konyagi kwenye viroba na chupa ndogo ndio kinampata Kilimanjaro water sasa... Kama asipojiongeza ndio bai bai
Pili ushindani wa kibiashara nao ni muhimu kuangalia mbinu na siri ya mchezo.... Kuna baadhi ya mbinu ni chafu hazifai... Ukibweteka unamalizwa
Jr[emoji769]
Moshi ni Kilimanjaro pure drinking water, Dar napiga Hill au Canadian Pure kwa sasa, mwanzo ilikuwa uhai na masafi. Mbeya natumiaga Dew drop...bonge la kiburudisho!Nikiwa Mbeya,kigoma,katavi maji bora kabisa ni Dew drop moro town udzungwa ametisha sana nikiwa moshi maji bora ni Tanza au sequa #Ova
AfyaKila zama na nabii wake.
Sasa ni mwendo wa
Afya
Uhai
Masafi
Dasani