Maji ya Kilimanjaro yamekata pumzi

Wakiree utawajua tu.. Uliza maji ya kilimanjaro si maji tu utakuja kupewa downloaded water.. Nafikiri ushanfahamu hapo
 
Wachaga ndio wenye viosk kila kona ya nchi hata waweke brand nyingine ya maji Kilimanjaro huwa haikosi...fake kamwe haiwezi kuipiku original...huyo Kilimanjaro supply chain yake sio ya kitoto ana malori zaidi ya 100 yanayosambaza bidhaa hiyo nchi nzima...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Achunguze huenda watu wa maabara wana malalamiko Yao ya msingi.
 
Kama kahujumiwa basi muosha huoshwa, ye mwenyewe kuingia sokoni alimfanyia figisu Maji afrika, alitumia mbinu hizo hizo za kujaza maji machafu kwenye chupa za maji afrika na kuziuza, kwa wakati ule hakukuwa na kampuni nyingine kubwa kama maji afrika hapa tanzania, hizo figisu zilimuondoa sokoni kabisa, na ye ndo kitakachofuata asipokuwa makini
 
Duuuh! Watu mnazo kumbukumbu hataree
 
Kilimanjaro ni kinachowakuta ni kubweteka, Biashara inahitaji security ili kuzidi kuchanua, Sasa kuna Wahuni dar apo wamejifungia ndani ya majumba na wanafyatua Bottles za Maji hayo ambazo ni Fake, Management hawana muda wa kufatilia we unategemea nini
 

Vikao kwa asilimia kubwa ni maji Kilimanjaro yana save. Huyu jamaa ni ngumu kumshusha coz ukiangusha Kili ana Dasani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…