Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Achunguze huenda watu wa maabara wana malalamiko Yao ya msingi.Wachaga ndio wenye viosk kila kona ya nchi hata waweke brand nyingine ya maji Kilimanjaro huwa haikosi...fake kamwe haiwezi kuipiku original...huyo Kilimanjaro supply chain yake sio ya kitoto ana malori zaidi ya 100 yanayosambaza bidhaa hiyo nchi nzima...
Sent using Jamii Forums mobile app
Duuuh! Watu mnazo kumbukumbu hatareeKama kahujumiwa basi muosha huoshwa, ye mwenyewe kuingia sokoni alimfanyia figisu Maji afrika, alitumia mbinu hizo hizo za kujaza maji machafu kwenye chupa za maji afrika na kuziuza, kwa wakati ule hakukuwa na kampuni nyingine kubwa kama maji afrika hapa tanzania, hizo figisu zilimuondoa sokoni kabisa, na ye ndo kitakachofuata asipokuwa makini
Mkuu huku Nilipo ndoo tunanua Hamsini haijalishi ni ndogo au kubwa ivo kwa 500 napata ndoo kumiMimi nachota kisimani ndoo 5 ni 500
Yes Hill. Ni ya Mangi
Africa yalikuwa the best! Kilimanjaro hayana mpinzaniAcha wayapende, wewe unapenda yapi?
Kila zama na nabii wake.
Sasa ni mwendo wa
Afya
Uhai
Masafi
Dasani
Very true mpaka nikahisi ni mdomo wangu,
Nikajaribu afya naona yako safi kabisa..
Uhai nae anaelekea kukata pumzi, anae hit kwa sasa ni masafi, hill, afya na dasan kwa mbali.Kila zama na nabii wake.
Sasa ni mwendo wa
Afya
Uhai
Masafi
Dasani
Uhai anaelekea kukata pumzi ndio mana anajaribu kutapa tapa abaki hewani, safi kaleta 1.2Lt kwa jero lako lile lile.Sasa hivi uhai kaja na chupa ya lita 1.6 kwa 500 tu,Afya lita 1 kwa jelo tu....maisha yanazidi kua rahisi siku hizi heko serikali ya JPM😎😎
Ha ha, swafi, swafi sana maisha ni kujiadjust kulingana na unapoenea.Mimi nachota kisimani ndoo 5 ni 500
Hakuba Kampuni yakuweza shindana na Kilimanjaro kwa hapaTanzania. Kilimanjaro ndo.kampuni pekee utakayo ipata nchi nzima,
Hayao mnayo yapigia debe usikute yako hapo Dar tu na sanasana Morogoro na Tanga. Ila Unashindana na Kilimanjaro inayo patikana Tarime, au Kibondo Kigoma au Kankonko mpakanao kabisa na Burundi au kule Katavi
Sent using Jamii Forums mobile app
Kabisa Mkuu! Ukiyanywa hutapenda Maji ya dar yenye chumvi chumvi! Unajua watu wanadanganyika wanapokunywa Maji ya baridi. Ukitaka kupata ladha halisi ya Maji kunywa ya moto. Dew drop the best!
Ya chumvi auMkuu huku Nilipo ndoo tunanua Hamsini haijalishi ni ndogo au kubwa ivo kwa 500 napata ndoo kumi
Korosho vipiSasa hivi uhai kaja na chupa ya lita 1.6 kwa 500 tu,Afya lita 1 kwa jelo tu....maisha yanazidi kua rahisi siku hizi heko serikali ya JPM😎😎
bado hatujalipwa,ila wamakonde tuna jambo letu zito sana,hawataamini machoni mwaoKorosho vipi