Maji ya Kilimanjaro yamekata pumzi

Maji ya Kilimanjaro yamekata pumzi

Sasa hivi uhai kaja na chupa ya lita 1.6 kwa 500 tu,Afya lita 1 kwa jelo tu....maisha yanazidi kua rahisi siku hizi heko serikali ya JPM😎😎
Aise maisha rahisi au afya rehani, hata maji ya kandoro hayauzwi kwa bei hiyo. ukiona ivo ujue ubora ni sufuri. UBORA UKACHEMSHA MAJI YA BOMBA.
 
Hakuba Kampuni yakuweza shindana na Kilimanjaro kwa hapaTanzania. Kilimanjaro ndo.kampuni pekee utakayo ipata nchi nzima,

Hayao mnayo yapigia debe usikute yako hapo Dar tu na sanasana Morogoro na Tanga. Ila Unashindana na Kilimanjaro inayo patikana Tarime, au Kibondo Kigoma au Kankonko mpakanao kabisa na Burundi au kule Katavi

Sent using Jamii Forums mobile app
Kanda ya magharibi kuna Dew Drop na Jambo hayo Kilimanjaro hatununui tena

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mkuu nahisi Kilimanjaro iko under license sababu hata package yake sio nzuri, chupa za siku hizi laini mno kiasi kwamba ukishika inabonyea, japo bado mazuri yapo pia.
Nawashauri kampuni ya Kilinjaro ifuatilie huenda kuna wizi

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimegundua yale madogo ndiyo yanatatizo ila 1.5lts sijanywa yenye chumvi
 
Hakuba Kampuni yakuweza shindana na Kilimanjaro kwa hapaTanzania. Kilimanjaro ndo.kampuni pekee utakayo ipata nchi nzima,

Hayao mnayo yapigia debe usikute yako hapo Dar tu na sanasana Morogoro na Tanga. Ila Unashindana na Kilimanjaro inayo patikana Tarime, au Kibondo Kigoma au Kankonko mpakanao kabisa na Burundi au kule Katavi

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu niko mkoani kwa sasa ila maji ya kilimanjaro kwa siku za hivi karibuni yamekuwa ovyo sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna mengine yameingia wanatoka Arusha! Kila duka la mchaga yapo yaani machalii wanayapenda balaa. Utasikia nipe maji ya .. wanamtaja jina mhusika. Chupa ni nyembaba ndefu chapa yake rangi ya blue kwa jero tu.
Acha wayapende, wewe unapenda yapi?
 
Maji namba moja Tanzania ni Dew drop. Yanatoka sumbawanga, haya Maji yako vzr sana sema hayana promo tu. Atakayejaribu kuyanywa ataona ubora wake. Chupa yake haina rangi yoyote ( kama wengine wanavyolazimisha kuweka chupa za blue kunogeasha rangi ). Kilimanjaro wamezembea kwenye kuzuia wachakachuaji, feki ni mengi sana. Kuna siku pale msamvu Kijana aliniuzia maji Kilimanjaro feki nikachimba biti akarudisha pesa akasepa. Imagine Maji ya morogoro yalivyokuwa na typhoid!
 
Dew drop ni best kwasasa sijui why hayana promo kubwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuba Kampuni yakuweza shindana na Kilimanjaro kwa hapaTanzania. Kilimanjaro ndo.kampuni pekee utakayo ipata nchi nzima,

Hayao mnayo yapigia debe usikute yako hapo Dar tu na sanasana Morogoro na Tanga. Ila Unashindana na Kilimanjaro inayo patikana Tarime, au Kibondo Kigoma au Kankonko mpakanao kabisa na Burundi au kule Katavi

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa ishu sio upatikanaji, hapa tunazungumzia ubora wake sio ule tuliozoea maji yanaukakasi sana hayana ladha mdomoni tena

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tupiamo tupicha. Maji Bora ya kunywa yenye viwango vya maji ya kunywa lazima yaandikwe "Drinking Water" au "Maji ya Kunywa" sio "Pure drinking water wala purified Drinking Water au Maji Safi ya kunywa" kwenye chupa/lebel yake. Maji ya kunywa Yana viwango vyake vya kimataifa. Wengi hapa tunaongelea radha ya maji mdomoni

Back
Top Bottom