Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Niko tayari kukurudishia pesa yote na faida juu, niuzie eneo hilo kwani kuna sumu kali sana.Habari wakuu, Moja kwa moja kwenye mada.
Wiki iliyopita nilikamilisha uchimbaji na ujengeleaji wa KISIMA changu kwa matumizi ya nyumbani na maji yamepatikana kwa wingi japo Yana chumvi kidogo.
Sasa shida imeanza, Maji ukiyaangalia meupe na masafi lakini ukipikia vyakula kama ndizi zinaiva hali ya kuwa zimekuwa nyeusi sana. Ukipikia maharage yakiiva yanakuwa na rangi nyeusi au zambarau tofauti na rangi mloizoea ya maharage yakiiva.
Tangu tuanze kuyatumia maji haya kunawa na kuoga ngozi zetu zimebadilika rangi tumeanza kuwa weusi.
Baadhi ya vyombo vya plastic vyenye rangi nyeupe tunavyotumia kuchota maji haya vimebadilika na kuwa na weusi. Kwa sasa tumeacha kuyatumia Kwanza. Nipo Tabora.
MSAADA WA MAWAZO/USHAURI.
Natanguliza shukrani.
Nafurahi kusikia DonaSalama G
Adui wa Mtanzania ni Mtanzania mwenzakeWasikutishe bibi zao huko kijijini wanatumia maji machafu hata wao ndio yamewakuza,eti water analysisi we tumia tu mwayego wasikutishe
Bibi yako maji ya madimbwi kule bush aliyapima wapi?USITUMIE MAJI YA KISIMA CHAKO KABLA YA KUYAPELEKA KUPIMWA KWENYE MAABARA YA SERIKALI.
Tahadhari si lazima uifuate, mimi kwetu meno yameharibika kutokana na madini kwenye maji.Bibi yako maji ya madimbwi kule bush aliyapima wapi?
Visima vya pembeni ya miji huko ushasikia wanafanya hivo? Ujuaji ujuaji. Kujifanya mjuaji.Adui wa Mtanzania ni Mtanzania mwenzake
Meno tu mbona mikoa mingi meno yameharibika ila ni ishu ndogo sana haiondoi uhandsome au urembo wa bintiTahadhari si lazima uifuate, mimi kwetu meno yameharibika kutokana na madini kwenye maji.
Utakuwa kapuuzi fulani hivi! Anakuambia kila akipika chakula kinakuwa cheusi bado unamshauri tu aendelee hivyo hivyo? Utakuwa na akili ya sisimizi mkuu!Wasikutishe bibi zao huko kijijini wanatumia maji machafu hata wao ndio yamewakuza,eti water analysisi we tumia tu mwayego wasikutishe
Ha ha ha umejua kunichekeshaAnauliza humu JF, huku pembeni anapata chai ya maji ya kisima taratiiiibu.
Sawa mkuuNiko tayari kukurudishia pesa yote na faida juu, niuzie eneo hilo kwani kuna sumu kali sana.
Umefika mbali sana brother, unataka kutuaminisha kuwa umezaliwa unajua kilakitu bila kuelimishwa siku hadi siku?🤣🤣🤣🤣🤣
Unaweza kujiuliza aliwezaje kujenga kwa akili hizi
Habari wakuu, Moja kwa moja kwenye mada.