Maji ya kisima changu yanabadilisha vitu vinakuwa na rangi nyeusi

Maji ya kisima changu yanabadilisha vitu vinakuwa na rangi nyeusi

Wasikutishe bibi zao huko kijijini wanatumia maji machafu hata wao ndio yamewakuza,eti water analysisi we tumia tu mwayego wasikutishe
Hawa wanasayansi wa dar ni shida sana.
Hiyo water analysis ni kwa ajili ya kudhibiti visima binafsi tu ili wauze maji yao ya bomba.
 
Maji yako yanakemikali inayoitwa sulphurmetrodenetratecarbonate
1657081617659.png
 
Hadi google wameshindwa kuitambua hiyo sumu ila jamaa kwenye pich anachota maji
Ideally, maji ya ardhini huwa yanatakiwa kufanyiwa maboresho kupunguza uhali wa madini na kemikali zilizoko. Wadau wengi ukanda wa pwani Tanga/Pwani/DSM/Lindi/Mtwara waliochimba visima wakaunganisha maji kwenye mifumo ya mabomba kuingia ndani, vifaa hivyo hulika na kuchakaa ndani ya muda mfupii.

changamoto ni usirikiano na mamlaka husika kuweza kusaidia wanajamiii katika adha husika ...bila kusahau uwezo wa mwanajamii kifedha
 
samahani utaratibu unakuwaje? na ni hapo tmda (external)?
Maabara ipo pale chuo kikuu cha maji, ubungo.
Mtaalamu lazima aje kwako achukue sample kisha anaenda na taarifa zako kukutengenezea control number, atakutumia control number ,ukilipia ndo wanafanya hizo analysis,,, ndani ya siku 4 unatumiwa report yako.
 
Umechimba kisima chako mwenyewe?

Je umepeleka hayo maji kufanyiwa vipimo maabara?

Usitumie maji ya kuchimba ardhini bila kuyapima maabara utaua familia huenda kuna mwamba wenye kemikali hatarishi
Mbona watu wengi nje ya miji wanachimba visima bila kushirikisha wataalam na maji yanakuwa salama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom