Maji ya kisima changu yanabadilisha vitu vinakuwa na rangi nyeusi

Wasikutishe bibi zao huko kijijini wanatumia maji machafu hata wao ndio yamewakuza,eti water analysisi we tumia tu mwayego wasikutishe
 
Niko tayari kukurudishia pesa yote na faida juu, niuzie eneo hilo kwani kuna sumu kali sana.
 
Wasikutishe bibi zao huko kijijini wanatumia maji machafu hata wao ndio yamewakuza,eti water analysisi we tumia tu mwayego wasikutishe
Adui wa Mtanzania ni Mtanzania mwenzake
 
Tahadhari si lazima uifuate, mimi kwetu meno yameharibika kutokana na madini kwenye maji.
Meno tu mbona mikoa mingi meno yameharibika ila ni ishu ndogo sana haiondoi uhandsome au urembo wa binti
 
Acha mautumizi ya hayo maji mara moja. Chukua wataalame wachukue sample yakapimwe unaweza ukawa unakunywa sumu hujijui
 
Wasikutishe bibi zao huko kijijini wanatumia maji machafu hata wao ndio yamewakuza,eti water analysisi we tumia tu mwayego wasikutishe
Utakuwa kapuuzi fulani hivi! Anakuambia kila akipika chakula kinakuwa cheusi bado unamshauri tu aendelee hivyo hivyo? Utakuwa na akili ya sisimizi mkuu!
 
Hamna maabara huko ,hao wanaangalia ubora wa maji wanayosambaza wao tu ..inatakiwa yapimwe kwa maabara ya wizara au kwa mkemia mkuu,
Mkemia mkuu anapima japo bei zao zimechangamka.
 
Kabla ya kutumia mlipeleka sampo maabara kupima kama yanafaa kwa matumizi?
Wacheni kwanza kutumia kabla hamjdhurika zaidi
 
Jaribu kufugia samaki
Kama kambale hivi!
Utajua tu kama ni maji ya bafuni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…