Uchaguzi 2020 Maji ya shingo Kawe? Gwajima akutana na Maaskofu 71 wa Makanisa ya Kiroho kuomba uungwaji mkono


Hao Maaskofu 71 ni wale wenye 'Akili' kubwa kama za Yule wa Kagera au ni wale wale 'Maaskofu' wenye 'Unafiki' na 'Upumbavu' usiovumilika pia?
 
Gwajima ni utata mtupu,ningekuwa Kawe asingepata kura yangu.He is simply fake,kwa kila nyanja.
 
Gwajima ni porn star siyo mwanasiasa!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]!!!

Nimekumbuka alivyokuwa anagugumia kwenye ile clip aliyojipigaga mwenyewe,sema duniani kuna watu mang'ombe huwezi amini kuna watu mpaka leo ukiawaambia yule alikuwa Gwaji boy hawakubali kabisa kisa jamaa anajiita Askofu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli bavicha mna multiple ID's neno moja linaandikwa na ID tofauti tano.
 
Huyu jamaa anakwenda kuaibika vibaya mno!! Mwana kulifind
 
Alisema ubunge siyo level yake tunatafakari tumpe cheo Cha uzinzi
 
Akutane na makanisa yote kawe hatumpi kuraaa
mchawi mkubwa huyu wa misungwi
 

Alipoonekana toto pendwa kwa pengo ni kwamba walienda kumwomba msamaha na kumwalika ili ampigie kameni?
https://www.jamiiforums.com/data/at...Instagram_media_-_CFcteKDn9S2__360_X_480_.mp4
 
Hivi hii inaruhusiwa? Disgusting!! Halima jiandae umburuze huyu kwa pilato!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…