GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Askofu Mkuu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima, amewakutanisha maaskofu 71 wa makanisa ya “kiroho” jijini Dar es Salaam akiomba msaada wao ili ashinde ubunge.
Maaskofu hao walikutana Alhamisi iliyopita katika hoteli ya Picolo, iliyoko Kawe jijini Dar es Salaam.
Soma zaidi hapa > Maji ya shingo Kawe: Gwajima akutana na Maaskofu wa Makanisa ya Kiroho kuomba uungwaji mkono - Imevuja!
Hao Maaskofu 71 ni wale wenye 'Akili' kubwa kama za Yule wa Kagera au ni wale wale 'Maaskofu' wenye 'Unafiki' na 'Upumbavu' usiovumilika pia?