Maji yamenifika shingoni kwa huyu bidada

Jf ina mambo mengi mkuu
Ni kweli kabisa aise..

Kuna mtu huku mara nyingi sana amekwisha nilazimisha nibadili jinsi...πŸ€ͺπŸ€ͺananilazimisha niwe mwanaume..πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…duniani kuna mambo...
 
Kama wakala wa Tigo ! Nimecheka Sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ni kweli kabisa aise..

Kuna mtu huku mara nyingi sana amekwisha nilazimisha nibadili jinsi...[emoji2957][emoji2957]ananilazimisha niwe mwanaume..[emoji28][emoji28][emoji28]duniani kuna mambo...
Avatar yako ina lips za denda mkuu
 
Mrejesho et
 
Hahaha
 
Itakuwa hela za huyo mwanamke ndo zinakubabaisha.

Unazilia timing Ila hujui umuingieje?

Mbona kwa mabinti huna mdomo Zege na mzigo unakula fresh hadi na bikra unatoa?

Shubaa-tree ( shubaamiti)
Hahaha
 
Kuna mahusiano ya ku buy time na kuna mahusiano ya commitment......

Wengi wapo kwenye mahusiano ya ku buy time huku tunaodhania kuwa ni wenza wetu wakiangalia chaguo bora zaidi badala yetu.......

Na wengine wakiwa kwenye ku buy time anaweza hata mkafunga ndoa lakini akipata best option anaondoka.....

Maamuzi ya kuachana na mtu hayaji ghafla bali ni wazo lililokuwa linaishi kwenye kichwa cha mtu kwa muda likingoja mtu sahihi kutokea.......

Ni vigumu kumkuta mwanamke yupo single isipokuwa huyo aliyenaye kwa muda huo hakuwa chaguo lake lakini kwa kupambana na upweke amekuwa naye.......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…