Maji yamenifika shingoni kwa huyu bidada

Maji yamenifika shingoni kwa huyu bidada

Kama wakala wa Tigo ! Nimecheka Sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ni kweli kabisa aise..

Kuna mtu huku mara nyingi sana amekwisha nilazimisha nibadili jinsi...[emoji2957][emoji2957]ananilazimisha niwe mwanaume..[emoji28][emoji28][emoji28]duniani kuna mambo...
Avatar yako ina lips za denda mkuu
 
Wakuu naomba niende moja kwa moja kwa mda yangu.

Swala linalo nisibu ni kwamba..nampata vipi huyu bi dada nileitokea kumpenda toka siku ya kwanza namuona machoni pangu,

Kiukweli she is kind, wanawake wapo wengi lakini yeye ndie nataka. Swala la sifa zake i wish ipo siku karibuni nimepanga lazima nitamwambia. Kiukweli nimetokea kumpenda kupita maelezo. Yeye anamaisha yake, na anajikidhi, ako na cash.

Sasa mimi nimekosa pakuanzia kabisa, kwasababu, hajaonesha kuwa anahitaji uwepo wangu kwake wa karbu, inshort ana mambo yake anaenda kazini, na naona akitoka anakua na mambo yake hadi usiku unaingia, then analala.

Nimekosa pakuanzia kumwambia kuwa nampenda, coz hata kipind ambacho nilikua napata nafasi ya kumuona, hakuwai kuzungumzia mambo yake kwangu.

Yani ni kama wakala wa Tigo anapokutana na customer, ni huduma inatolewa basi. I don't know about her relationship status. Sijui kama anahisia nami za kimapenzi, japo mim nikimtizama namfeel kinoma.

Ladies nisaidie kitu kimoja, hivi nyie huwa inatokea mna act hivi kwa mwanaume na bado hata akikutongoza unakubali? Japo mwanzo hukuonesha kabisa kutaka kujuana nae zaidi?

............................
Mrejesho et
 
Hii ndo shida ya DOMO ZEGE. Fanya hivi, Nunua tu karanga, changanya na ice cream, mpe aingiapo langoni mwake huku umefunga mdomo wako kwa barakoa. Nenda fanya hivyo mara 3. Mwenyewe atakuuliza, Vya nini hivi vitu?

Tiyari ushajipatia chanzo cha kumwaga sera. Haya nilipe kwani hakuna ushauri wa bure
Hahaha
 
Itakuwa hela za huyo mwanamke ndo zinakubabaisha.

Unazilia timing Ila hujui umuingieje?

Mbona kwa mabinti huna mdomo Zege na mzigo unakula fresh hadi na bikra unatoa?

Shubaa-tree ( shubaamiti)
Hahaha
 
Kuna mahusiano ya ku buy time na kuna mahusiano ya commitment......

Wengi wapo kwenye mahusiano ya ku buy time huku tunaodhania kuwa ni wenza wetu wakiangalia chaguo bora zaidi badala yetu.......

Na wengine wakiwa kwenye ku buy time anaweza hata mkafunga ndoa lakini akipata best option anaondoka.....

Maamuzi ya kuachana na mtu hayaji ghafla bali ni wazo lililokuwa linaishi kwenye kichwa cha mtu kwa muda likingoja mtu sahihi kutokea.......

Ni vigumu kumkuta mwanamke yupo single isipokuwa huyo aliyenaye kwa muda huo hakuwa chaguo lake lakini kwa kupambana na upweke amekuwa naye.......
 
Back
Top Bottom