Maji yamenifika shingoni, naomba msaada wakuu

Maji yamenifika shingoni, naomba msaada wakuu

Ruble

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2013
Posts
845
Reaction score
1,579
Heshima kwa wakuu wote

Mdogo wenu hali tete. Kijana wa kiume. Dira haisomi. Nipo Dar

Wakuu kama kuna mtu ana kazi ya ulinzi, au kazi ya kusimamia lodge/guest yake popote nchini nipo tayari.

Ni muaminifu, sidokoi cha mtu.

Nina elimu ngazi ya diploma.

Nina changamoto fulani za kiafya zimekua kikwazo kwenye harakati za maisha wandugu.

Nisaidieni wakubwa wangu nitadhalilika mjini.

Natoa shukrani zangu.
 
Back
Top Bottom