Hamissi Hamza Jr
JF-Expert Member
- Apr 16, 2020
- 561
- 1,149
Endeleeni kusema mama anaupiga mwingi.Mambo Mengine Ni ya Aibu Sana Mpaka 2026,Mkoa Wa Mwanza Uliozungukwa na Ziwa Victoria Kupata Huduma ya Maji ya Haba na Haba,
Kama Mkoa ulio Mkabala na Ziwa Maji yanatoka mala 2 kwa Wiki Je Mikoa Ambayo iko Mbali na Ziwa Huduma Hii Muhimu Si ndo hovyo Zaidi,
Mkishindwa Kutimiza Wajibu Muwe Na Utu,Mkishindwa Kuwa Na Utu Muwe Na Aibu.
Buhongwa Ipi Mkuu 😀Mbona tumehabarishwa huko Buhogwa umezinduliwa mradi mkubwa wa maji? au bado haujaanza kufanya kaz.
Mkuu Usiniingize kwenye mtego,Mimi Sina Mwanasheria😀Endeleeni kusema mama anaupiga mwingi.
Yaani ww unasema maji yanatoka Kwa wiki mara mbili?Mshukuru Mungu.Mambo Mengine Ni ya Aibu Sana Mpaka 2026,Mkoa Wa Mwanza Uliozungukwa na Ziwa Victoria Kupata Huduma ya Maji ya Haba na Haba,