Maji yapi ni sahihi kwa kumchua mtu aliepata maumivu au majeraha ya ndani kwa kuteguka, kushtuka?

pakapori

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2015
Posts
536
Reaction score
626
Habari ya muda huu wakuu, poleni na majukumu yanayoendelea kwa siku ya leo.

Moja kwa moja niende kwenye mada husika, kama kichwa cha habari kinavyosema hapo juu. Nimekuwa ni mkanganyiko wa ufahamu juu ya hivi vitu viwili kipi ni sahihi kwa wakati upi.

Maji yapi ni sahihi kwa kumchua mtu aliepata maumivu au majeraha ya ndani either kwa kuteguka, kushtuka (SIO KUVUNJIKA) maana nimejaribu sana kutafuta ufumbuzi wa hili jambo ila naona kila mtu anasema lake.

Sasa nimeona nililete kwenu wataalam, kwamba ipi ni sahihi kumchua mtu alieteguka kiungo cha mwili, je ni maji ya moto au ni maji ya baridi yaliochanganyika na barafu..?

Nawasilisha kwenu..,
 
Mkuu, ni vyema ungeweka wazi eneo husika ambalo unahitaji kulikanda.
Back to the point.......
Nakumbuka niliwahi kuambiwa na mwalimu wangu wa mazoezi kwamba, ninapo pata maumivu ya ndani, basi ni vyema siku ya kwanza nikatumia barafu kukanda sehemu ile. Kisha siku ya pili nitumie maji ya moto (sio ya kuunguza) yalio changanywa na chumvi, na kisha baada ya kujikanda ninapaswa kukausha eneo husika vizuri, kisha napaka mafuta ya Alizeti yalio changanywa na mafuta ya Karafuu. Zoezi hilo linapaswa lifanyike kwa muda wa siku 4-7, na kama hakuna mabadiliko basi nivyema kumuona Mganga
 
Nimekupata vilivyo na eneo husika ankle.

Na pia Huwa mara nyingi nafatilia training session za wachezaji wa soccer wa nje, mara moja moja huwa naona wanadumbukizwa kwenye maji yenye barafu kuanzia eneo la kiuno mpaka chini huwa ndani ya jaba lenye maji ya barafu.., na hii nayo imekaaje mkuu..?
 
Habari ya muda huu wakuu, poleni na majukumu yanayoendelea kwa siku ya leo.

Moja kwa moja niende kwenye mada husika, kama kichwa cha habari kinavyosema hapo juu. Nimekuwa ni mkanganyiko wa ufahamu juu ya hivi vitu viwili kipi ni sahihi kwa wakati upi.

Maji yapi ni sahihi kwa kumchua mtu aliepata maumivu au majeraha ya ndani either kwa kuteguka, kushtuka (SIO KUVUNJIKA) maana nimejaribu sana kutafuta ufumbuzi wa hili jambo ila naona kila mtu anasema lake.

Sasa nimeona nililete kwenu wataalam, kwamba ipi ni sahihi kumchua mtu alieteguka kiungo cha mwili, je ni maji ya moto au ni maji ya baridi yaliochanganyika na barafu..?

Nawasilisha kwenu..,

Kabla ya mwaka 2000 ilikuwa maji ya moto. Kuanzia mwaka 2001 madaktari wetu wanatumia maji ya baridi (barafu). ila kikwetu kwet tunatumia maji ya moto pamoja na majani ya minyonyo kwa kweli haijawahi kutuangusha.
 
Hahahaa hii ni revolution of treatment naona
 
Habari ya muda huu wakuu, poleni na majukumu yanayoendelea kwa siku ya leo.

Moja kwa moja niende kwenye mada husika, kama kichwa cha habari kinavyosema hapo juu. Nimekuwa ni mkanganyiko wa ufahamu juu ya hivi vitu viwili kipi ni sahihi kwa wakati upi.

Maji yapi ni sahihi kwa kumchua mtu aliepata maumivu au majeraha ya ndani either kwa kuteguka, kushtuka (SIO KUVUNJIKA) maana nimejaribu sana kutafuta ufumbuzi wa hili jambo ila naona kila mtu anasema lake.

Sasa nimeona nililete kwenu wataalam, kwamba ipi ni sahihi kumchua mtu alieteguka kiungo cha mwili, je ni maji ya moto au ni maji ya baridi yaliochanganyika na barafu..?

Nawasilisha kwenu..,
Kuijumla ni maji ya baridi, tena ukipata yanayokaribia kuganda itapendeza zaidi.

maji ya moto, si ya kutumia kinyumbani nyumbani, kuna mazingira fulani machache huwa inaitajika yatumike maji ya moto.
 
Mkuu, ni vyema ungeweka wazi eneo husika ambalo unahitaji kulikanda.
Back to the point.......
Nakumbuka niliwahi kuambiwa na mwalimu wangu wa mazoezi kwamba, ninapo pata maumivu ya ndani, basi ni vyema siku ya kwanza nikatumia barafu kukanda sehemu ile. Kisha siku ya pili nitumie maji ya moto (sio ya kuunguza) yalio changanywa na chumvi, na kisha baada ya kujikanda ninapaswa kukausha eneo husika vizuri, kisha napaka mafuta ya Alizeti yalio changanywa na mafuta ya Karafuu. Zoezi hilo linapaswa lifanyike kwa muda wa siku 4-7, na kama hakuna mabadiliko basi nivyema kumuona Mganga
Huyu jamaa yupo sahihi jaribu hii treatment!!
 
Kuijumla ni maji ya baridi, tena ukipata yanayokaribia kuganda itapendeza zaidi.

maji ya moto, si ya kutumia kinyumbani nyumbani, kuna mazingira fulani machache huwa inaitajika yatumike maji ya moto.
Aiseee.., duuh..!!
 
Embu wacha nijaribu maana nasikia maji yabaridi yanapunguza mzunguko wa damu katika eneo husika hivo kusababisha eneo husika kuchelewa kupona.
 
Maji ya baridi na sababu kubwa Ni kupunguza maumivu
Kuzuia kuganda kwa damu
Kupunguza uvimbe
Kurahisisha uponaji wa haraka
 
Back
Top Bottom