pakapori
JF-Expert Member
- Sep 13, 2015
- 536
- 626
Habari ya muda huu wakuu, poleni na majukumu yanayoendelea kwa siku ya leo.
Moja kwa moja niende kwenye mada husika, kama kichwa cha habari kinavyosema hapo juu. Nimekuwa ni mkanganyiko wa ufahamu juu ya hivi vitu viwili kipi ni sahihi kwa wakati upi.
Maji yapi ni sahihi kwa kumchua mtu aliepata maumivu au majeraha ya ndani either kwa kuteguka, kushtuka (SIO KUVUNJIKA) maana nimejaribu sana kutafuta ufumbuzi wa hili jambo ila naona kila mtu anasema lake.
Sasa nimeona nililete kwenu wataalam, kwamba ipi ni sahihi kumchua mtu alieteguka kiungo cha mwili, je ni maji ya moto au ni maji ya baridi yaliochanganyika na barafu..?
Nawasilisha kwenu..,