Majibu haya ya serikali ni ya Kihuni!!

Majibu haya ya serikali ni ya Kihuni!!

mbona hawakusema kama Tangold imesajiliwa nchini? mbona hawakuelezea biashara za Mkapa na Yona kule Mchuchuma..mbona hawakuelezea malipo ya Mkono ambayo ni zaidi ya asilimia 3 ya kisheria... majibu nusu nusu ni majibu ya kihuni!!

Tazama wasije kukuita huna uzalendo mkuu! Si unajuwa hawa vilaza wetu wanavyofahamu. kupindisha ukweli?
 
Jiwe walilolikataa waashi limekuwa jiwe kuu la pembeni
 
Back
Top Bottom