mbona hawakusema kama Tangold imesajiliwa nchini? mbona hawakuelezea biashara za Mkapa na Yona kule Mchuchuma..mbona hawakuelezea malipo ya Mkono ambayo ni zaidi ya asilimia 3 ya kisheria... majibu nusu nusu ni majibu ya kihuni!!
Tazama wasije kukuita huna uzalendo mkuu! Si unajuwa hawa vilaza wetu wanavyofahamu. kupindisha ukweli?