C Choveki JF-Expert Member Joined Apr 16, 2006 Posts 458 Reaction score 171 Oct 5, 2009 #41 Mzee Mwanakijiji said: mbona hawakusema kama Tangold imesajiliwa nchini? mbona hawakuelezea biashara za Mkapa na Yona kule Mchuchuma..mbona hawakuelezea malipo ya Mkono ambayo ni zaidi ya asilimia 3 ya kisheria... majibu nusu nusu ni majibu ya kihuni!! Click to expand... Tazama wasije kukuita huna uzalendo mkuu! Si unajuwa hawa vilaza wetu wanavyofahamu. kupindisha ukweli?
Mzee Mwanakijiji said: mbona hawakusema kama Tangold imesajiliwa nchini? mbona hawakuelezea biashara za Mkapa na Yona kule Mchuchuma..mbona hawakuelezea malipo ya Mkono ambayo ni zaidi ya asilimia 3 ya kisheria... majibu nusu nusu ni majibu ya kihuni!! Click to expand... Tazama wasije kukuita huna uzalendo mkuu! Si unajuwa hawa vilaza wetu wanavyofahamu. kupindisha ukweli?
Albedo JF-Expert Member Joined Feb 24, 2008 Posts 5,558 Reaction score 1,456 Oct 5, 2009 #42 Jiwe walilolikataa waashi limekuwa jiwe kuu la pembeni