GUSSIE
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 3,880
- 11,149
Wanabodi, Nimesikiliza clip na kusoma uzi kwa umakini sana, Nilichogundua watu wengi humu Jf hatutembei siku za weekend tupo bize na kazi tu.
Hao wanaigeria wapo wengi sana Dar es Salaam, kuna wakati huwa Niliwaona week-end na huwa najiuliza wanafanya kazi gani Dar hiyo Ilikuwa 2017 mwishoni nilikutana nao maeneo ya starehe wakiwa wanalazimisha ipigwe miziki ya kinegeria tu hapo Pub
Baada ya week sura zile niksikia wamekamatwa wapo na heroine pamoja na machine za kufoji kutengeneza huko masaki, Huwa week-end wanatembea kimakundi sana kuanzia watu watatu na kuendelea
Mwaka huu 2018,Niliamua kufanya Safari maeneo mengine ya Dar hasa ya starehe nimekutana nao wanakunywa bia kwa kushare Kundi la watu, Wengi wao wamechoka sana kimaisha hawa wanaigeria, Nilimuuliza muhudumu pale kuwa hawa watu ni kila siku wapo Huku au ni leo tu, Jibu lake lilikuwa hata yeye anashangaa jinsi walivyochoka kuanzia mavazi mpaka mifukoni na Mara nyingi wanaomba hata bia washushiwe bei
Katika uchunguzi, Nimegundua hili Kundi lipo kubwa hapa nchini kufanya kazi haramu na ujanja janja tu, kuliruhusu kuingia tu hovyo kama wachina ni shida
Wananunua sana bangi na kuvuta Beach fulani hapo Dar, Nimeshuhudia wakimbembeleza muuzaji awapunguzie bei ya msokoto wa sh 500 awauzie sh 100.Ni watu waliochoka sana sana kipesa hao vijana wa kinegeria na wapo wengi Dar
Walichofanya Uhamiaji msiwalaumu bila kujua nyuma ya pazia kuhusu hao watu, kwa Mimi ninaowaona na kukutana nao week-end Siwezi uliza au shangaa
Wanaigeria hawa hawana shughuli maalumu hapo Dar wanaishi kwa kuunga unga tu ,Wengine wanajua kiswahili kidogo,
Nilijaribu kumuhoji mmoja wao kwa technique kwa kujifanya rafiki na kuongea lugha yao ya utamaduni ya Igbo baada ya kugundua lafudhi yake na Mimi nimewahi ishi maeneo ya waigbo hivyo nikapata baadhi ya hints toka kwake,
Anasema yeye aliletwa Dar na wakenya kutafuta maisha ya kutengeneza software, Software developers, lakini mambo yamekuwa magumu na wakenya wamemkimbia wamerudi kwao hivyo yupo yupo anagongea maisha kwa Nigeria Wenzake ndio maana wanashare hata bia moja watu kibao