Majibu kuhusu Uhamiaji na Wanaigeria kurudishwa walikotoka

Majibu kuhusu Uhamiaji na Wanaigeria kurudishwa walikotoka

Wanabodi, Nimesikiliza clip na kusoma uzi kwa umakini sana, Nilichogundua watu wengi humu Jf hatutembei siku za weekend tupo bize na kazi tu.

Hao wanaigeria wapo wengi sana Dar es Salaam, kuna wakati huwa Niliwaona week-end na huwa najiuliza wanafanya kazi gani Dar hiyo Ilikuwa 2017 mwishoni nilikutana nao maeneo ya starehe wakiwa wanalazimisha ipigwe miziki ya kinegeria tu hapo Pub

Baada ya week sura zile niksikia wamekamatwa wapo na heroine pamoja na machine za kufoji kutengeneza huko masaki, Huwa week-end wanatembea kimakundi sana kuanzia watu watatu na kuendelea

Mwaka huu 2018,Niliamua kufanya Safari maeneo mengine ya Dar hasa ya starehe nimekutana nao wanakunywa bia kwa kushare Kundi la watu, Wengi wao wamechoka sana kimaisha hawa wanaigeria, Nilimuuliza muhudumu pale kuwa hawa watu ni kila siku wapo Huku au ni leo tu, Jibu lake lilikuwa hata yeye anashangaa jinsi walivyochoka kuanzia mavazi mpaka mifukoni na Mara nyingi wanaomba hata bia washushiwe bei

Katika uchunguzi, Nimegundua hili Kundi lipo kubwa hapa nchini kufanya kazi haramu na ujanja janja tu, kuliruhusu kuingia tu hovyo kama wachina ni shida

Wananunua sana bangi na kuvuta Beach fulani hapo Dar, Nimeshuhudia wakimbembeleza muuzaji awapunguzie bei ya msokoto wa sh 500 awauzie sh 100.Ni watu waliochoka sana sana kipesa hao vijana wa kinegeria na wapo wengi Dar

Walichofanya Uhamiaji msiwalaumu bila kujua nyuma ya pazia kuhusu hao watu, kwa Mimi ninaowaona na kukutana nao week-end Siwezi uliza au shangaa

Wanaigeria hawa hawana shughuli maalumu hapo Dar wanaishi kwa kuunga unga tu ,Wengine wanajua kiswahili kidogo,

Nilijaribu kumuhoji mmoja wao kwa technique kwa kujifanya rafiki na kuongea lugha yao ya utamaduni ya Igbo baada ya kugundua lafudhi yake na Mimi nimewahi ishi maeneo ya waigbo hivyo nikapata baadhi ya hints toka kwake,

Anasema yeye aliletwa Dar na wakenya kutafuta maisha ya kutengeneza software, Software developers, lakini mambo yamekuwa magumu na wakenya wamemkimbia wamerudi kwao hivyo yupo yupo anagongea maisha kwa Nigeria Wenzake ndio maana wanashare hata bia moja watu kibao
Dah wewe kweli kiboko hebu kaisikili,e ile clip halafu urudi hapa na utetezi mwingine !unadhani jamaa zetu watanzania wote walio nje ya nchi ni wema wote?usipende ku generalise issue tuko na incident ya hao dada wawili we dont give a heck about the hundred waomba bia unaowajua peke yako
 
Huu ni utetezi mbovu, kwa mtazamo wangu unaacha ombwe kubwa la majibu. "Innocent till proven guilty" ndio tunavyoaminishwa. Sijaangalia clip ya hao wadada ila kama wamehukumiwa kutokana na eti kuna wanaijeria wanaishi isivyo kihalali huo ni upumbavu. Kwa nini tusiende kuwakamata na kuwarudisha kwao.

Huyo software developer kama Wakenya walimleta basi kuna uwezekano ni competent. Kwa nini asirudi kwao tu akaendelea na kazi zake za awali kuliko kudhalilika ? Au hana nauli?
Huyo mtetezi ndio wale wanaotufanya watanzania tuonekane hatujaelimika au tunapata elimu ila ufahamu wetu ni wa liwango cha chini sana.
Jamaa sijui kama alitafakari kabla ya kibandika huu upuuzi wake hapa!
 
Kuna dada mmoja alikwenda Lagos kwa Masters programme. Akiwa kule alipata mchumba m-Nigeria. Walirydi wote Tanzania na jufubga ndoa.

Walipata watoto wawili, yule jamaa aliitwa kwao kulikuwa na mashauri. Akiwa kama mtoto wa kiume mkubwa ugomvi wa ardhi na mali za familia alikaa kama miezi sita huko. Huku nyuma dadaa alimpata mheshimiwa sana wa kumpunguzia mawazo.

Sikuhizi mume anarudi, mheshimiwa alitoka amri ya deportation pale airport na haruhusiwi tena kukanyaga Tanxania.

Watoto wanalelewa bila baba kwa ubabe wa kigogo
I heard that story
 
Serikali LAZIMA iwaangalie Nigerians kwa jicho la tatu maana popote walipo hawa watu LAZIMA kunakuwa na ujangili tu na ndiyo maana nchi nyingi haziwataki Nigerians. Angalia Souh Africa kwa mfano, Nigerians amejazana kila kona kuuza unga na kufanya biashara haramu nyingi tu na ndiyo maana raia wa kule wakiwakamata wanawaua kama kuku. Tusilimbikize na kubweteka na hawa watu hata kidogo, si wazuri hata.
 
Hapa uhamiaji ilibidi watoe Tangazo worldwide sio pale airport kiholela sijapenda kwakweli utaratibu wetu ni waovyo
 
Huu ni utetezi mbovu, kwa mtazamo wangu unaacha ombwe kubwa la majibu. "Innocent till proven guilty" ndio tunavyoaminishwa. Sijaangalia clip ya hao wadada ila kama wamehukumiwa kutokana na eti kuna wanaijeria wanaishi isivyo kihalali huo ni upumbavu. Kwa nini tusiende kuwakamata na kuwarudisha kwao.

Huyo software developer kama Wakenya walimleta basi kuna uwezekano ni competent. Kwa nini asirudi kwao tu akaendelea na kazi zake za awali kuliko kudhalilika ? Au hana nauli?
Hao wadada wamekumbana na sakata la kuzuiliwa kwa kuwa hawakuwa na taarifa za hivi karibuni kutokana na mabadiliko ya kuingia na kutoka nchini kwa baadhi ya raia wa mataifa.
 
Kwa hiyo uhamiaji wamekutuma uwajibie? Watz wangapi wana hizo tabia ulizotaja iwe very special kwa Nigerians?
Wanaotakiwa kuwa na Visa rejea sio wanaijeria peke yao, kuna wapakistan, iran, yemen, palestina na afghanistan
 
Mtu hazuiwi kuingia kwenye nchi fulani eti kisa raia mwenzake au wa nchi yake kafanya kosa kwenye nchi hiyo, bila anayeingia kuhusika,, hairuhusiwi kumzuia mnigeria kuingia eti kisa wanaigeria waliopo wanakunywa pombe na wana mashine za kufoji wakati yeye hujamkuta na kosa
Ni wapi Uhamiaji imewazuia raia wa kinaijeria kuingia? Kuna taratibu lazima zifuatwe ndio aruhusiwe, kuna wanaijeria kibao wanakamatwa China, Singapore, Hongkong wakiwa na pasipoti za kitanzania wakirudishwa hapa Tanzania hata kiswahili hawajui.

Kuna kisa kimoja kilitokea jamaa wa kinaijeria aliletwa na mchaga Masawe kuomba pasipoti akijifanya ni Bubu na akiwa na docs zote halali, akapewa paspoti kama mchaga wa marangu. Siku kaenda Airport akajisahau kuwa ni bubu akaongea kiingereza wakati anakwenda China. Maafisa Uhamiaji walimstukia wakamdaka.
 
Ni wapi Uhamiaji imewazuia raia wa kinaijeria kuingia? Kuna taratibu lazima zifuatwe ndio aruhusiwe, kuna wanaijeria kibao wanakamatwa China, Singapore, Hongkong wakiwa na pasipoti za kitanzania wakirudishwa hapa Tanzania hata kiswahili hawajui.

Kuna kisa kimoja kilitokea jamaa wa kinaijeria aliletwa na mchaga Masawe kuomba pasipoti akijifanya ni Bubu na akiwa na docs zote halali, akapewa paspoti kama mchaga wa marangu. Siku kaenda Airport akajisahau kuwa ni bubu akaongea kiingereza wakati anakwenda China. Maafisa Uhamiaji walimstukia wakamdaka.
Hiyo ni ya kudhibitiwa lakin hujaelewa concept yangu nilikuwa namjibu aliyesema nini na nimemjibu nini
 
Hawa jamaa ni wapuuz sana nimeishi nao Mozambique, Malawi na Zambia hawana sifa za kukaa kwenye nchi yetu. Nchi yetu hatutaki watu wahun wahun kama wanaigeria na wasomalia
Nakubaliana na wewe 100% ni Kati ya binadamu wapuuzi duniani, sio wastaarabu kila sehemu wameharibu,wanapenda sifa Sana
 
Hawa Wanaijeria naskia wapo vizuri kwenye mambo ya IT ngoja nimtafute mmoja anifundishe ku crake ma code, na jinsi ya ku foji ma document nataka ni foji document za kuingia Mbiguni bila kizuizi...
Rahisi sana ...anza kufuata amri kumi za Mungu kama upo serious....then you will hv a code....to start with
 
Back
Top Bottom