Wanabodi, Nimesikiliza clip na kusoma uzi kwa umakini sana, Nilichogundua watu wengi humu Jf hatutembei siku za weekend tupo bize na kazi tu.
Hao wanaigeria wapo wengi sana Dar es Salaam, kuna wakati huwa Niliwaona week-end na huwa najiuliza wanafanya kazi gani Dar hiyo Ilikuwa 2017 mwishoni nilikutana nao maeneo ya starehe wakiwa wanalazimisha ipigwe miziki ya kinegeria tu hapo Pub
Baada ya week sura zile niksikia wamekamatwa wapo na heroine pamoja na machine za kufoji kutengeneza huko masaki, Huwa week-end wanatembea kimakundi sana kuanzia watu watatu na kuendelea
Mwaka huu 2018,Niliamua kufanya Safari maeneo mengine ya Dar hasa ya starehe nimekutana nao wanakunywa bia kwa kushare Kundi la watu, Wengi wao wamechoka sana kimaisha hawa wanaigeria, Nilimuuliza muhudumu pale kuwa hawa watu ni kila siku wapo Huku au ni leo tu, Jibu lake lilikuwa hata yeye anashangaa jinsi walivyochoka kuanzia mavazi mpaka mifukoni na Mara nyingi wanaomba hata bia washushiwe bei
Katika uchunguzi, Nimegundua hili Kundi lipo kubwa hapa nchini kufanya kazi haramu na ujanja janja tu, kuliruhusu kuingia tu hovyo kama wachina ni shida
Wananunua sana bangi na kuvuta Beach fulani hapo Dar, Nimeshuhudia wakimbembeleza muuzaji awapunguzie bei ya msokoto wa sh 500 awauzie sh 100.Ni watu waliochoka sana sana kipesa hao vijana wa kinegeria na wapo wengi Dar
Walichofanya Uhamiaji msiwalaumu bila kujua nyuma ya pazia kuhusu hao watu, kwa Mimi ninaowaona na kukutana nao week-end Siwezi uliza au shangaa
Wanaigeria hawa hawana shughuli maalumu hapo Dar wanaishi kwa kuunga unga tu ,Wengine wanajua kiswahili kidogo,
Nilijaribu kumuhoji mmoja wao kwa technique kwa kujifanya rafiki na kuongea lugha yao ya utamaduni ya Igbo baada ya kugundua lafudhi yake na Mimi nimewahi ishi maeneo ya waigbo hivyo nikapata baadhi ya hints toka kwake,
Anasema yeye aliletwa Dar na wakenya kutafuta maisha ya kutengeneza software, Software developers, lakini mambo yamekuwa magumu na wakenya wamemkimbia wamerudi kwao hivyo yupo yupo anagongea maisha kwa Nigeria Wenzake ndio maana wanashare hata bia moja watu kibao
Balozi wao anafanya nini ingawa nakumbuka tukio la mwanamke wa Tanzania kumpora mnigeria mke wake mwanamke huyo ambaye ni mtoto wa kigogo kwa kushirikiana na mtoto wake walifanya mpango wa kumfuka mke wa mnigeria huyo, mwanamke wa kinigeria alivua nguo airport lakini matukio kama hayo yanashugurikiwa na balozi wao au wizara yao ya mambo ya nje ingawa sijui sakata lao liliishia wapiKuna dada mmoja alikwenda Lagos kwa Masters programme. Akiwa kule alipata mchumba m-Nigeria. Walirydi wote Tanzania na jufubga ndoa.
Walipata watoto wawili, yule jamaa aliitwa kwao kulikuwa na mashauri. Akiwa kama mtoto wa kiume mkubwa ugomvi wa ardhi na mali za familia alikaa kama miezi sita huko. Huku nyuma dadaa alimpata mheshimiwa sana wa kumpunguzia mawazo.
Sikuhizi mume anarudi, mheshimiwa alitoka amri ya deportation pale airport na haruhusiwi tena kukanyaga Tanxania.
Watoto wanalelewa bila baba kwa ubsbe wa kigogo
Ni ujinga kuwaweka watu milioni karibia 180 wa Nigeria katika kapu moja. Huwa nachukia sana ninavyosafiri hasa nchi zilizoendelea halafu nakuwa-treated kama mkimbizi eti kwa sababu kuna wakimbizi Africa! It is called prejudice. STOP IT!Wanabodi, Nimesikiliza clip na kusoma uzi kwa umakini sana, Nilichogundua watu wengi humu Jf hatutembei siku za weekend tupo bize na kazi tu.
Hao wanaigeria wapo wengi sana Dar es Salaam, kuna wakati huwa Niliwaona week-end na huwa najiuliza wanafanya kazi gani Dar hiyo Ilikuwa 2017 mwishoni nilikutana nao maeneo ya starehe wakiwa wanalazimisha ipigwe miziki ya kinegeria tu hapo Pub
Baada ya week sura zile niksikia wamekamatwa wapo na heroine pamoja na machine za kufoji kutengeneza huko masaki, Huwa week-end wanatembea kimakundi sana kuanzia watu watatu na kuendelea
Mwaka huu 2018,Niliamua kufanya Safari maeneo mengine ya Dar hasa ya starehe nimekutana nao wanakunywa bia kwa kushare Kundi la watu, Wengi wao wamechoka sana kimaisha hawa wanaigeria, Nilimuuliza muhudumu pale kuwa hawa watu ni kila siku wapo Huku au ni leo tu, Jibu lake lilikuwa hata yeye anashangaa jinsi walivyochoka kuanzia mavazi mpaka mifukoni na Mara nyingi wanaomba hata bia washushiwe bei
Katika uchunguzi, Nimegundua hili Kundi lipo kubwa hapa nchini kufanya kazi haramu na ujanja janja tu, kuliruhusu kuingia tu hovyo kama wachina ni shida
Wananunua sana bangi na kuvuta Beach fulani hapo Dar, Nimeshuhudia wakimbembeleza muuzaji awapunguzie bei ya msokoto wa sh 500 awauzie sh 100.Ni watu waliochoka sana sana kipesa hao vijana wa kinegeria na wapo wengi Dar
Walichofanya Uhamiaji msiwalaumu bila kujua nyuma ya pazia kuhusu hao watu, kwa Mimi ninaowaona na kukutana nao week-end Siwezi uliza au shangaa
Wanaigeria hawa hawana shughuli maalumu hapo Dar wanaishi kwa kuunga unga tu ,Wengine wanajua kiswahili kidogo,
Nilijaribu kumuhoji mmoja wao kwa technique kwa kujifanya rafiki na kuongea lugha yao ya utamaduni ya Igbo baada ya kugundua lafudhi yake na Mimi nimewahi ishi maeneo ya waigbo hivyo nikapata baadhi ya hints toka kwake,
Anasema yeye aliletwa Dar na wakenya kutafuta maisha ya kutengeneza software, Software developers, lakini mambo yamekuwa magumu na wakenya wamemkimbia wamerudi kwao hivyo yupo yupo anagongea maisha kwa Nigeria Wenzake ndio maana wanashare hata bia moja watu kibao
Yule mwanamke alirudi kwao na ku move on na maisha yake. Mtoto wa kigogo aliolewa na mzungu na baada ya mzungu kufukuzwa kazi familia nzima ilishinikiza talaka.Balozi wao anafanya nini ingawa nakumbuka tukio la mwanamke wa Tanzania kumpora mnigeria mke wake mwanamke huyo ambaye ni mtoto wa kigogo kwa kushirikiana na mtoto wake walifanya mpango wa kumfuka mke wa mnigeria huyo, mwanamke wa kinigeria alivua nguo airport lakini matukio kama hayo yanashugurikiwa na balozi wao au wizara yao ya mambo ya nje ingawa sijui sakata lao liliishia wapi
inawezekana wanaija walimvutisha janiKwa hiyo unaamini kuwa wale wadada ni wahuni tu?
Wabongo wakifanyiwa hivyohivyo huko South na Kenya n.k tusianze lialia.Wanabodi, Nimesikiliza clip na kusoma uzi kwa umakini sana, Nilichogundua watu wengi humu Jf hatutembei siku za weekend tupo bize na kazi tu.
Hao wanaigeria wapo wengi sana Dar es Salaam, kuna wakati huwa Niliwaona week-end na huwa najiuliza wanafanya kazi gani Dar hiyo Ilikuwa 2017 mwishoni nilikutana nao maeneo ya starehe wakiwa wanalazimisha ipigwe miziki ya kinegeria tu hapo Pub
Baada ya week sura zile niksikia wamekamatwa wapo na heroine pamoja na machine za kufoji kutengeneza huko masaki, Huwa week-end wanatembea kimakundi sana kuanzia watu watatu na kuendelea
Mwaka huu 2018,Niliamua kufanya Safari maeneo mengine ya Dar hasa ya starehe nimekutana nao wanakunywa bia kwa kushare Kundi la watu, Wengi wao wamechoka sana kimaisha hawa wanaigeria, Nilimuuliza muhudumu pale kuwa hawa watu ni kila siku wapo Huku au ni leo tu, Jibu lake lilikuwa hata yeye anashangaa jinsi walivyochoka kuanzia mavazi mpaka mifukoni na Mara nyingi wanaomba hata bia washushiwe bei
Katika uchunguzi, Nimegundua hili Kundi lipo kubwa hapa nchini kufanya kazi haramu na ujanja janja tu, kuliruhusu kuingia tu hovyo kama wachina ni shida
Wananunua sana bangi na kuvuta Beach fulani hapo Dar, Nimeshuhudia wakimbembeleza muuzaji awapunguzie bei ya msokoto wa sh 500 awauzie sh 100.Ni watu waliochoka sana sana kipesa hao vijana wa kinegeria na wapo wengi Dar
Walichofanya Uhamiaji msiwalaumu bila kujua nyuma ya pazia kuhusu hao watu, kwa Mimi ninaowaona na kukutana nao week-end Siwezi uliza au shangaa
Wanaigeria hawa hawana shughuli maalumu hapo Dar wanaishi kwa kuunga unga tu ,Wengine wanajua kiswahili kidogo,
Nilijaribu kumuhoji mmoja wao kwa technique kwa kujifanya rafiki na kuongea lugha yao ya utamaduni ya Igbo baada ya kugundua lafudhi yake na Mimi nimewahi ishi maeneo ya waigbo hivyo nikapata baadhi ya hints toka kwake,
Anasema yeye aliletwa Dar na wakenya kutafuta maisha ya kutengeneza software, Software developers, lakini mambo yamekuwa magumu na wakenya wamemkimbia wamerudi kwao hivyo yupo yupo anagongea maisha kwa Nigeria Wenzake ndio maana wanashare hata bia moja watu kibao
Sasa kama ni hivyo kwanini polisi wasifanye msako wa kuwakamata. Tunacholaumu ni lugha inayotumika katika kuwahudumia. Ongea na wateja wageni wako vizuri waeleze kwanini unawanyima Visa, Luna Haha gani ya kuwazungusha mara nenda kwa yule au kule au kwasababu ya lugha gongana. Ni wajibu wa uhamiaji kutoa Visa na kufuatilia Visa zinapoisha. Uhamiaji wanatakiwa kufanya msako kwa wale wote ambao watakuwa wameoverstay. Umesema wanaigeria wamejazana kibao bongo na hawana kazi. Ni kazi ya polisi kukamata wazururaji na wageni wasiokuwa na kz maalum. Unakuta polisi wanawakamata tu raia wema ambao wako nchini kwao kuwa wao ndio wazururaji uku wakuja wakiachwaWanabodi, Nimesikiliza clip na kusoma uzi kwa umakini sana, Nilichogundua watu wengi humu Jf hatutembei siku za weekend tupo bize na kazi tu.
Hao wanaigeria wapo wengi sana Dar es Salaam, kuna wakati huwa Niliwaona week-end na huwa najiuliza wanafanya kazi gani Dar hiyo Ilikuwa 2017 mwishoni nilikutana nao maeneo ya starehe wakiwa wanalazimisha ipigwe miziki ya kinegeria tu hapo Pub
Baada ya week sura zile niksikia wamekamatwa wapo na heroine pamoja na machine za kufoji kutengeneza huko masaki, Huwa week-end wanatembea kimakundi sana kuanzia watu watatu na kuendelea
Mwaka huu 2018,Niliamua kufanya Safari maeneo mengine ya Dar hasa ya starehe nimekutana nao wanakunywa bia kwa kushare Kundi la watu, Wengi wao wamechoka sana kimaisha hawa wanaigeria, Nilimuuliza muhudumu pale kuwa hawa watu ni kila siku wapo Huku au ni leo tu, Jibu lake lilikuwa hata yeye anashangaa jinsi walivyochoka kuanzia mavazi mpaka mifukoni na Mara nyingi wanaomba hata bia washushiwe bei
Katika uchunguzi, Nimegundua hili Kundi lipo kubwa hapa nchini kufanya kazi haramu na ujanja janja tu, kuliruhusu kuingia tu hovyo kama wachina ni shida
Wananunua sana bangi na kuvuta Beach fulani hapo Dar, Nimeshuhudia wakimbembeleza muuzaji awapunguzie bei ya msokoto wa sh 500 awauzie sh 100.Ni watu waliochoka sana sana kipesa hao vijana wa kinegeria na wapo wengi Dar
Walichofanya Uhamiaji msiwalaumu bila kujua nyuma ya pazia kuhusu hao watu, kwa Mimi ninaowaona na kukutana nao week-end Siwezi uliza au shangaa
Wanaigeria hawa hawana shughuli maalumu hapo Dar wanaishi kwa kuunga unga tu ,Wengine wanajua kiswahili kidogo,
Nilijaribu kumuhoji mmoja wao kwa technique kwa kujifanya rafiki na kuongea lugha yao ya utamaduni ya Igbo baada ya kugundua lafudhi yake na Mimi nimewahi ishi maeneo ya waigbo hivyo nikapata baadhi ya hints toka kwake,
Anasema yeye aliletwa Dar na wakenya kutafuta maisha ya kutengeneza software, Software developers, lakini mambo yamekuwa magumu na wakenya wamemkimbia wamerudi kwao hivyo yupo yupo anagongea maisha kwa Nigeria Wenzake ndio maana wanashare hata bia moja watu kibao
Kwa hiyo Polisi aache familia yake aje kutafuta watu haramu week end, Mkuu Upo seriosly weweSasa kama ni hivyo kwanini polisi wasifanye msako wa kuwakamata. Tunacholaumu ni lugha inayotumika katika kuwahudumia. Ongea na wateja wageni wako vizuri waeleze kwanini unawanyima Visa, Luna Haha gani ya kuwazungusha mara nenda kwa yule au kule au kwasababu ya lugha gongana. Ni wajibu wa uhamiaji kutoa Visa na kufuatilia Visa zinapoisha. Uhamiaji wanatakiwa kufanya msako kwa wale wote ambao watakuwa wameoverstay. Umesema wanaigeria wamejazana kibao bongo na hawana kazi. Ni kazi ya polisi kukamata wazururaji na wageni wasiokuwa na kz maalum. Unakuta polisi wanawakamata tu raia wema ambao wako nchini kwao kuwa wao ndio wazururaji uku wakuja wakiachwa
Hivi unajua kz ya polisi. Hivi unajua kuna shift. Au wewe wajua tu kuwa polisi wote wanafanya kazi Monday to Friday 6am to 6pm. Kuna shift zinarotate. Uhamiaji nao ni polisi inabidi wao nao wafanye kazi ya kuwatafuta wageni ambao hawana Visa na ambao visa zao zimexpireKwa hiyo Polisi aache familia yake aje kutafuta watu haramu week end, Mkuu Upo seriosly wewe
Ile ni kazi Kama za wengine zinahitaji kupumzika na kula bata
Hawa jamaa ni wapuuz sana nimeishi nao Mozambique, Malawi na Zambia hawana sifa za kukaa kwenye nchi yetu. Nchi yetu hatutaki watu wahun wahun kama wanaigeria na wasomaliaKumbe nawewe umeishi naijiria! Hata mie na ukiwafahamu hutakuwa limbukeni wa kuwatetea kama TrueVoter
Mfahamishe kinachogomba mkuu!
We nae kwa story za kutunga papo hapo hujamboKuna dada mmoja alikwenda Lagos kwa Masters programme. Akiwa kule alipata mchumba m-Nigeria. Walirydi wote Tanzania na jufubga ndoa.
Walipata watoto wawili, yule jamaa aliitwa kwao kulikuwa na mashauri. Akiwa kama mtoto wa kiume mkubwa ugomvi wa ardhi na mali za familia alikaa kama miezi sita huko. Huku nyuma dadaa alimpata mheshimiwa sana wa kumpunguzia mawazo.
Sikuhizi mume anarudi, mheshimiwa alitoka amri ya deportation pale airport na haruhusiwi tena kukanyaga Tanxania.
Watoto wanalelewa bila baba kwa ubabe wa kigogo