Majibu kuhusu Uhamiaji na Wanaigeria kurudishwa walikotoka

Dah wewe kweli kiboko hebu kaisikili,e ile clip halafu urudi hapa na utetezi mwingine !unadhani jamaa zetu watanzania wote walio nje ya nchi ni wema wote?usipende ku generalise issue tuko na incident ya hao dada wawili we dont give a heck about the hundred waomba bia unaowajua peke yako
 
Huyo mtetezi ndio wale wanaotufanya watanzania tuonekane hatujaelimika au tunapata elimu ila ufahamu wetu ni wa liwango cha chini sana.
Jamaa sijui kama alitafakari kabla ya kibandika huu upuuzi wake hapa!
 
I heard that story
 
Serikali LAZIMA iwaangalie Nigerians kwa jicho la tatu maana popote walipo hawa watu LAZIMA kunakuwa na ujangili tu na ndiyo maana nchi nyingi haziwataki Nigerians. Angalia Souh Africa kwa mfano, Nigerians amejazana kila kona kuuza unga na kufanya biashara haramu nyingi tu na ndiyo maana raia wa kule wakiwakamata wanawaua kama kuku. Tusilimbikize na kubweteka na hawa watu hata kidogo, si wazuri hata.
 
Hapa uhamiaji ilibidi watoe Tangazo worldwide sio pale airport kiholela sijapenda kwakweli utaratibu wetu ni waovyo
 
Hao wadada wamekumbana na sakata la kuzuiliwa kwa kuwa hawakuwa na taarifa za hivi karibuni kutokana na mabadiliko ya kuingia na kutoka nchini kwa baadhi ya raia wa mataifa.
 
Kwa hiyo uhamiaji wamekutuma uwajibie? Watz wangapi wana hizo tabia ulizotaja iwe very special kwa Nigerians?
Wanaotakiwa kuwa na Visa rejea sio wanaijeria peke yao, kuna wapakistan, iran, yemen, palestina na afghanistan
 
Ni wapi Uhamiaji imewazuia raia wa kinaijeria kuingia? Kuna taratibu lazima zifuatwe ndio aruhusiwe, kuna wanaijeria kibao wanakamatwa China, Singapore, Hongkong wakiwa na pasipoti za kitanzania wakirudishwa hapa Tanzania hata kiswahili hawajui.

Kuna kisa kimoja kilitokea jamaa wa kinaijeria aliletwa na mchaga Masawe kuomba pasipoti akijifanya ni Bubu na akiwa na docs zote halali, akapewa paspoti kama mchaga wa marangu. Siku kaenda Airport akajisahau kuwa ni bubu akaongea kiingereza wakati anakwenda China. Maafisa Uhamiaji walimstukia wakamdaka.
 
Hiyo ni ya kudhibitiwa lakin hujaelewa concept yangu nilikuwa namjibu aliyesema nini na nimemjibu nini
 
Hawa jamaa ni wapuuz sana nimeishi nao Mozambique, Malawi na Zambia hawana sifa za kukaa kwenye nchi yetu. Nchi yetu hatutaki watu wahun wahun kama wanaigeria na wasomalia
Nakubaliana na wewe 100% ni Kati ya binadamu wapuuzi duniani, sio wastaarabu kila sehemu wameharibu,wanapenda sifa Sana
 
Hawa Wanaijeria naskia wapo vizuri kwenye mambo ya IT ngoja nimtafute mmoja anifundishe ku crake ma code, na jinsi ya ku foji ma document nataka ni foji document za kuingia Mbiguni bila kizuizi...
Rahisi sana ...anza kufuata amri kumi za Mungu kama upo serious....then you will hv a code....to start with
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…