Majibu kutoka kwa Jide

Majibu kutoka kwa Jide

Jide ndo uvaaji wake huo. Katika maisha yangu ya dhambi nilikuwa na ndoto siku moja nimuoe Jide ila ndoto yangu ikavurugwa na Gadner... sikujilaumu sana kwasababu wakati Jide ndo anaanza kuvuma mimi bado niko O-level. Nikakaa kwa miaka mingi bila malengo yoyote ya kipuuzi hadi mwaka 2007 kama sio 2008 nilipomwona Jokate na Millard Ayo wakiwa ma-MC kwenye Kilimanjaro Music Awards. Nikasema nitakuja kumwoa huyu kwanza tunalingana. Mara ghafla nasikia mwendazake kaweka kambi. Nikakata moto kabisa. Baada ya mwendazake kwenda zake nikaona huu ndo wakati wangu.. wakati najifikiria ndo mara nasikia ana mimba. Kwa sasa nataka niweke nia tena kwa Jide. Mkiona havai tena nguo za kuacha kitovu wazi mjue ndo mimi nimefanikisha. MNIOMBEE
Hela unazo [emoji3][emoji3]

Sent from my CPH2219 using JamiiForums mobile app
 
Jide wala siyo Mkurya, usikariri majina. Kabila lake ni Msizaki wa Bunda Mara.
Mara hatuko wakurya tu, kuna Wazanaki, Wajita n.k
Wajomba zangu watu wa Mara nyie.
Sema mna roho mbaya wajomba zangu na madharau sie wahaya ilikua zamani siku hizi tunasingiziwa.
Basi tuendeleze udugu, mtoto wa mjomba naye mchumba.
 
Back
Top Bottom