Majibu kutoka kwa Jide

Majibu kutoka kwa Jide

Wajomba zangu watu wa Mara nyie.
Sema mna roho mbaya wajomba zangu na madharau sie wahaya ilikua zamani siku hizi tunasingiziwa.
Basi tuendeleze udugu, mtoto wa mjomba naye mchumba.
Nyie ni watani zetu Rutagwerera Sr unalijua hilo kwanza? Wakurya tuna roho nzuri sana, usijichanganye tu kwenye 18. Haya binamu nyama ya... 😄😄😄😄😄😄
 
Vibaya hivyo kumbe siku zote wajua we mtani husemi.
Mama yangu mtu wa Mara muikizu.
Ndugu zangu upande huo wana uwezo sana sema wakaksi kwelikweli 😬😬..kukusaidia ishu na wanananga hao dah..sitaki ukaribu nao kabisa.
Ila kosa lako moja tu unashabikia topolo fc
 
Najua ndiyo siku zote hizi 😄😄😄😄 siku hizi naona kabila nyingi, mtu akifanikiwa kusaidia ni wale wenye moyo wa kutoa tu. Hiyo kunanga nakubali 🤣🤣🤣.
Wewe ndiyo unapotea njoo Yanga.
 
Dah wacha nilie kwanza 😢
Utopoloni inataka kukaza roho labda mnilambishe asali kwanza.
 
Acha afanye afanyalo na mwili wake as long as it is not against the law and repugnant!
 
Back
Top Bottom