Kwa raha zake hata akimtaka Mimibaba tutampatia tu, si anasema "Nilisoma Franciscan Seminary Maua". Umewahi kukisikia kisa cha Mwalim maarufu wa seminari Father Kit Cunningham?
Mimi nina miaka 65 kwa taarifa kwako wewe hasimu wangu. Ungejitolea wewe kwa sababu mwenzangu wewe ni wa CCM damu na nyinyi ni wazoefu (mnaita suna). Mimi ni mwana mabadiliko muhanga wa CCM kwa kutuibia hela zetu za Jumuia ya Africa Mashariki.
Kumbe ni mzee mwenzangu, ngoma draw. Nimekuuliza umewahi kusikia kisa cha Father Kit Cunningham?
Wewe hujasoma seminari
Nimesoma madrasa na elimu ya dini zote kwa kiwango cha Chuo Kikuu Pakistan kwenye tasnia ya uongozi
Pamoja na kwamba utendaji wako hauna walakini, kijana rudi shule nina uhakika katiba mpya inayokuja wataweka degree kama kigezo cha kuwa Mbunge! Hapa wanakuchokonoa wajue jinsi ya ku-fix wale wanaowaletea shida Bungeni! tena kwa vile mama Makinda ameshasema hatagombea basi ujue kipengele hicho kinarudi jiunge hata na SAUT au Tumaini faster!
Mimi naamini upanga kwa upanga. Kwa hiyo ukitupa upanga wako uwe tayari na kukabiliana na wa kwanguMashaAllah, inabidi uwe unatupa darsa zanye hikma mara kwa mara na si kukurupuka kama alivyofanya hapo juu.
Mimi naamini upanga kwa upanga. Kwa hiyo ukitupa upanga wako uwe tayari na kukabiliana na wa kwangu
tatizo hiyo 2015 uchaguzi utatumia hiyo katiba mpya...mwisho wao 2015! watamfix nani na wapi????
tatizo hiyo 2015 uchaguzi utatumia hiyo katiba mpya...na itaenda mbali kuwa-fix hata wakina Lema na Mbowemwisho wao 2015! watamfix nani na wapi????
zomba ulipata one ya ngapi form four?Kwa raha zake hata akimtaka Mimibaba tutampatia tu, si anasema "Nilisoma Franciscan Seminary Maua". Umewahi kukisikia kisa cha Mwalim maarufu wa seminari Father Kit Cunningham?
tukimaliza hapa tuijadili Gentleman ya baba riziwani pale udsm