Majibu kwa Nape, Ridhiwan Kikwete na wengine kuhusu elimu yangu na niliposoma

Majibu kwa Nape, Ridhiwan Kikwete na wengine kuhusu elimu yangu na niliposoma

Kwako John Mnyika kamanda wetu,

Baada ya kujibu swali la ridhiwan Kikwete na Nape Nnauye, nafikiri sasa ni wakati mwafaka wa wewe kutusaidia kumuuliza ridhiwan Kikwete swali lileeeeeeeeee.......labda yeye atalimudu maana ...........

Je, kwa nini Tanzania ni maskini pamoja na wingi wa fursa na rasilimali ilizonazo?


Najua mimi Mwana Mtoka Pabaya sitajibiwa, lkn wewe mheshimiwa ukiuliza bila shaka majibu yatakuja hata kama yataambatana na jazba
 
Last edited by a moderator:
Ndio Nape na Mtoto wa mshua mjue kuwa kuna tofauti kubwa kati ya intelligensia na intellectual unaweza kusoma hadi PHD. lakini usiwe intelligensia wewe utabaki intellectual. kwa kuwafungua bongo intelligensia anaandika, anajua matatizo ya jamii na kuyatatua, anajifunika mwamvuli akiona tu mawingu hata kabla mvua haijanyesha(problem solving). Mnyika ameonyesha umma kuwa yeye ni intelligensia-valued intellect of the society and not value empty brain!! pure product of instinct and intellect responsible!!! see the tree which i see? just a philosophical rhetoric!!!!!
 
Umewaza kitu ambacho ni muhimu sana,ni kweli nchi nyingine zinazojua umuhimu wa watu Genius kama JJ
wangemtumia kwa manufaa ya nchi,lakini inasikitisha mijitu ndio kwanza inatafuta kumvunja moyo na kumkatisha
tamaa kwa juhudi zake kuwakomboa wananchi,jiulize tofauti kubwa ya kiufahamu kati ya Mnyika na Ridhwani
ameongelea suala la mtu ameahidi kuwa na maji safi kwa kipindi ambacho kimeshapita,mwenye ufahamu mdogo
anajibu sera zao ni mpaka 2015!!!!!stupid"!!!!!!

mkuu yaani mpaka nimecheka maana sa izi ukiwauliza kitu CCM itakua 2014, yaan mtu akae chuo miaka 3 kihalali afu mnataka asiseme ka nimekaa chuoni? Wapi mnyika amesema ye ni Graduate wa UD? Bomba la mchina lipo kwetu huu ni mwaka wa nne halitoi maji afu unataka cheti kwa hoja hii jaman..?
 
Wewe Mnyika ni kiboko. Achana na hao waendao kwa kufuata upepo. Ubarikiwe sana.:yo:
 
Nape sasa na Ridhiwani wako wapi???hebu tuachane na hao goigoi wanataka kutuhamisha kwenye hoja za msingi.hongera Mnyika chapa kazi kamwe hakuna kurudi nyuma.

mbona mnyika amekubali kuwahajamaliza chuo! ss nape na ridhiwani waseme n!ni?
 
Ikiwa hivyo CCM ndio watakuwa waathirika wakubwa. Wabunge wasio na shule ni wengi kwao na tu watakachofanikiwa ni kumfanya Mnyika apumzike kwa miaka 5 tu afanye degree yake na masters as well arudi tena kwa kishindo,kwani wewe kwa jinsi tu alivyojieleza hapa na jinsi anavyowajambisha bungeni mpaka wanazuia hoja una mashaka na kichwa yake?

Definitely sina mashaka na uwezo wa Mnyika katika kufikiri, kupambanua na kujenga hoja za msingi ndani na nje ya bunge! Mnyika ni genius. Mara nyingi magenius hawamalizi masomo straight; take Albert Einsten; shule yake ni ya kuunga unga lakini alifanya mambo makubwa duniani. Vivo hiyo Billgate alidrop chuo lakini ni nani asiyejua mchango wake katika tasnia ya teknohama? Mnyika yupo katika kundi hili!
 
Wewe na muono wako nami nimempa ushauri huyo kijana, akipenda auchukuwe akipenda auache. Ni ushauri wa mtu mzima kwa kijana mdogo mwenye matatizo makubwa ambayo wewe na walio kama wewe kwa upofu wenu hamuyaoni.

Ushauri unaotanguliza kumwita chizi ni wa kushanga. Chizi huyo huyo akihamia CCM mtamwitwa jembe. Kama si ngera ni nini?
 
Hongera Mnyika kwa kufunguka na kuwaeleza makinda wa siasa Curriculum Vitae (CV) yako. Labda elimu waliyotaka kujua kama unayo ni elimu ahera ya kwenda kwa babu Bwagamoyo mlingotini. Manake elimu dunia tayari unayo. Upendo wako kwa wananchi na Taifa ni elimu tosha na nuru gizani.

Nchi hii inahitaji mabadiliko makubwa katika nyanja zote za maendeleo yatakayochochewa na kuletwa na vijana wanamageuzi kama John Mnyika.Mapinduzi ya kweli yaliyoletwa na wasomi wachache kwa kushirikiana na wanachi wenye uchungu na nchi yao, ambao wengi hawakuwa na elimu ya kutosha, yameishapinduliwa na wenye mamlaka katika kuiongoza nchi!

Elimu ya darasani (elimu dunia) ni nyongeza ya uelewa,ujuzi na mbinu ambazo mwanadamu hujifunza ili aweze kupambana na mazingira anayoishi. Busara na hekima mwanadamu huzaliwa navyo na kupewa na Mungu. Ukiwa kiongozi mwenye elimu,ukakosa busara,hekima na maarifa ya kuongoza watu wako ni kazi bure. Ndiyo maana elimu ahera(elimu giza) haina busara wala hekima, kwani hufundishwa kwa siri gizani!
 
Nimempa Mwanangu wa kiume ausome huu ufafanuzi wa Mnyika!nikamwambia nikifa mapema,huyu ndo awe role model wako!yupo hapo sababu hana "Godfather"....angelikuwa na Godfather ktk system Mnyika angekuwa mbali sana!!Nikajiuliza mimi nikifa leo,je mwanangu anaweza kupambana peke yake kiasi hiki?
hapa alipo yupo mbali mno; ukiwa na akili kama hizi godfaza hana nafasi, sana sana atakuchanganya sababu atakujaza utumbo wa kutumia short-kati kujinufaisha ki maisha, atajifanya anakusaidia kupitia mlango wa nyuma ambapo baadaye jamii inakudharau.
 
Ushauri unaotanguliza kumwita chizi ni wa kushanga. Chizi huyo huyo akihamia CCM mtamwitwa jembe. Kama si ngera ni nini?

"Akihamia CCM" itakuwa kapona, kwani kila maradhi yana dawa.
 
safiii kamanda mnyika unakipaji maalumu. piga kazi cv yako iko juu. tunasubiri za kwao hapa janvini
 
32.jpg

Juliana Shonza
23.jpg


Mwampamba

waliyokua viongozi wa BAVICHA na kuhamia ccm, juzi walimchana mnyika katika mkutano wa hadhara, Goba, DSM. juliana ameapa kuwa 2015 atachukua jimbo la ubungo. nape alimazia kwa kusema mnyika kwishnei. Nauliza: watamuweza mnyika? nahofia kwa sababu speed yao kali. walimualika maghembe azungumzie maji. alisema ilani ya ccm ya mwaka 2015 imetamka kuwa maji yataenea maeneo yote ya dar. yetu macho.
35.jpg

waziri wa maji
39.jpg

nape akimwaga pikipiki kwa vijana wa goba
 
Hongera sana JJ kwa ufafanuzi wa kina juu ya elimu yako. kusema kweli hata mm nilijua wewe ni msomi mwenye shahada ya Sheria, (shame on me kwa kutofanya utafiti wa kutosh!!), lakn ninacho kumbuka wakati wa akina Keenja pale ubungo nilisikia msukisuko huo na nilijua ulikuwa mwanafunzi pale ila sikujua kama ilimaliza au la. Lakini WEWE ni Mahiri sana, hata unavyojenga hoja ni zaidi ya wenye Phd! Big up broda!

Nimeipenda sana coment ya Wakili Ridhiwani JK, well done kwa kukubalian na hoja na kuepuka malimbano yasiyo na tija kwa taifa hili. Hii ndio siasa tunayoitaka. Ki2 kama ni cheupe sema ni cheupe!
 
Pamoja na kwamba utendaji wako hauna walakini, kijana rudi shule nina uhakika katiba mpya inayokuja wataweka degree kama kigezo cha kuwa Mbunge! Hapa wanakuchokonoa wajue jinsi ya ku-fix wale wanaowaletea shida Bungeni! tena kwa vile mama Makinda ameshasema hatagombea basi ujue kipengele hicho kinarudi jiunge hata na SAUT au Tumaini faster!
 
RIz moko angeanza kumsaidia mdogo wake mwanaasha elimu na si kuongelea elimu ya mtu ambaye tumeona mchango wake katika nchi hii kimawazo na vitendo.

so riz mdogo wako mwanaasha anafanya nini hivi sasa?
 
Naomba sasa umshauri "ahamie ccm" ili ale matunda ya nchi. Sijui mtampa limama lipi limliwaze?

Kwa raha zake hata akimtaka Mimibaba tutampatia tu, si anasema "Nilisoma Franciscan Seminary Maua". Umewahi kukisikia kisa cha Mwalim maarufu wa seminari Father Kit Cunningham?
 
Last edited by a moderator:
HESHIMA KWAKO MH MNYIKA. A 9? Jamani wanajamvi ajitokeze angala mmoja mwenye A hata 8 tu!
 
Back
Top Bottom