Kamanda Mnyika kwangu mimi nadhani umefanya vizuri kuwafahamisha watu personal affairs lakini si kwa sababu ya kumjibu Nape na Ridhwani,wao hata wangekuwa na madigrii 20 lakini bado deliverable zao hazionekani na hazijaonekana kwa taifa hili,ni kama issue ni kukupunguza makali kwa kudhani kwamba watu wakijua elimu yako basi wamejiongopea maana tunaona hao wenye madigrii mpaka ya HAVARD lakini ni bure tu,na hata hivyo hatuangalii karatasi kwa maana ya cheti kikubwa una nini kichwani?na kwa kazi uliyoichagua nadahani kuongeza elimu kwa utaratibu ulijipangia ni sawa tu maana wewe haujengi daraja wala si daktari unafanyia operation mtu kwenye chumba cha upasuaji,uelewa wako watanzania ni mashuhuda,hata wao maccm najua wanakuogopa ukiwa mjengoni.lakini mbaya zaidi maccm ni aibu kwa vihiyo wako wengi sana na wengine walihi kutajwa na kitbu kilitungwa lakini hajawahai kukanusha wala kwenda mahakamani kwa kudhalilishwa.na wengine tulikutana nao mahakamani ilkiuwa ni kituko nae ni Makongoro mahanga.Nape hana hoja na ndio hulka ya maccm hukimbilia kuzungumza habari binafsi za mtu.haya jitokezeni mtuambie vyeti vyenu vinalingana na mnachoifanyia jamii,tena kama riz1 kunahabari chafu za kudesa hapo mlimani na aliembeba amepewa ulaji na msure,anayway wajitokeze tuone wanataka kutambia nini.
Nirejee tena ushauri wangu kwako Kamanda Mnyika,niliwahi kukushauri achana na Nape hakufikii hata robo kibaba,ukiendelea kujibizana nae atakupotezea muda,muache ahazunguke na Shonza hao ndio watu wa size yake.kama mtu ataamua kuwa mkweli,wewe si wa size ya Nape na wala Riz1,achana nao mkuu