Wakili Ridhwan katika maandiko yake amefanya rejea ya suala Kihiyo wa CCM Temeke, nashauri arejeekwenye hukumu ya kesi ile na marekebisho ya sheria yaliyofanywa na Serikali yaCCM kuwalinda wabunge wake vihiyo baada ya hukumu.

Afadhali. Lakini Mkuu John Mnyika,napmba niulize maswali madogo mawili ya uelewa:
Kwanza,ufaulu wako kidato cha sita ulikuwaje pale Tambaza?
Pili, uliahirisha masomo yako UDSM;lini utamalizia?
Asante.

haya sasa, ni zamu ya nape na rizone kuweka cv yao hapa. asante sana mkuu. mia
Kumbe ka mkubwa ulikimbia shule, japo unafanya vyema mbele ya macho ya mashabiki wako ila shule muhimu sana.acha maneno mengi jitahidi urudi shule ili uwe mfano wa kweli kwa vijana wa sasa.hilo la kwamba utasoma cdm ikingia madarakani kwetu inamaana kwamba hutasoma tena kwakuwa cdm haitarajiwi kushika dola ktk miaka ya karibuni kwakuwa migawanyiko na mitafaruku yenu haitawaacha salama...
Composed, poised, and polished!
Dogo wa Kikwete na Nape sidhani kama wanaweza kuandika kama alivyoandika Mnyika hapa!