Majibu kwa Nape, Ridhiwan Kikwete na wengine kuhusu elimu yangu na niliposoma

Majibu kwa Nape, Ridhiwan Kikwete na wengine kuhusu elimu yangu na niliposoma

Mnajionea wenyewe madhara ya elimu za madrasa walizo soma Nape na Ridhiwani
 
Aisee Mnyika anajua style ya kuwavuruga magamba. Nape Nnauye hebu kuja hapa udhibitishe kuwa ni wapi Mnyika aliwahi kusema kuwa ana degree, baada ya hapo utuambie kwa nin chama chako kina wahadaa Watanzania kuhusu maji kupitia ilani ya chama?



Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
elim kiukwel c chochotn yan nimejaribu kujipima na kadegree kangu cdhan kama ningeweza kujibu hoja za wapumbavu riz1 na napi kama alivyowachambua J J,hongera kaka!.
 
kwa majibu haya mayowe aliyokuwa ameandaa kupiga Nape Nnauye miezi 3 ijayo kwisha

wapi wakili Riz 1 na gentleman degree
 
Last edited by a moderator:
Well, inaelekea misingi uliyoipata seminarini si ya kawaida. Utaratibu wao wa kufundisha na kulea vijana ndio unaokosekana kwenye mfumo wetu wa elimu. Kinachotokea sasa ni tatizo la kuwa na watu wanaodai wana LLM kama Ridhiwani lakini bure kabisa - hamna chochote wanachosaidia jamii zaidi ya kuwaibia. Sasa kweli Nape au Ridhiwani wanapata wapi ujasiri (moral authority) wa kuhoji elimu ya Mnyika? Uwezo wa Mnyika hawawezi kuufikia kamwe, unless if they choose to learn from him.
 
wakuu huyu Riz 1 hivi kuna kesi aliwakusimami au ni wakili kilaza wanunuaji wa mitihani na kudesa Riz hajui kitu aje hapa Mlimani tufanye naye paper za DrMvungi za first year akipa 50 mimi naairisha course.
 

Nilichaguliwa kwenda Shule ya Sekondari ya Ilboru wakati huo ikiwa ya vipaji maalum, sikwenda; wito ulinituma kwenda Seminarini. Nilisoma Franciscan Seminary Maua (FRASEMA) mpaka kidato cha nne; nilipata daraja la kwanza; nikiwa na alama A katika masomo tisa.



JJ


No wonder why ukisimama kujenga hoja Bungeni magamba wanaanza kutetemeka. Mtu mwenye Div One ya point 7 form four bado mnahoji elimu yake? Nape tunaweza kukupa msaaada wa hizo A mbili za ziada za Mnyika ujazie kwenye matokeo yako ya form 4.........!!
 
Nape na Ridhiwani wamesoma na kumaliza elimu ya juu zaidi ya Mnyika. Huo ndiyo ukweli.
Ukweli mwingine ni kuwa kusoma sana ni kufundishwa sana .... na haimaanishi kuwa utakuwa na akili sana, au uelewa wako wa masuala ni mkubwa sana.
Haya malumbano ni mambo ya kitoto na yanatia aibu.
 
wakuu huyu Riz 1 hivi kuna kesi aliwakusimami au ni wakili kilaza wanunuaji wa mitihani na kudesa Riz hajui kitu aje hapa Mlimani tufanye naye paper za DrMvungi za first year akipa 50 mimi naairisha course.

HaHhahahah! We dogo mchokozi sana wewe!
 
Nakumbuka sana mwaka 2005 mara nyingi sana nimesoma makala zako kwenye magazeti mengi sana na wakati huo mimi pia ni mwanachama wa CHADEMA mpaka leo na kipindi hicho tulikuwa form6 hapa Dar na kipindi kile kabla ya hapo na baada umekuwa mstari wa mbele sana
 
.kiogozi umefanya la maana sana ,kwanza umeeleza wasifu wako na mafanikio yako hatua kwa hatua kitu ambacho Nape na Riziwani hawana ubavu huo .

Kwanza Riziwani aje jamvini aelezee alipodisco mlimani alifanyaje akaendelea na masomo?
 
Mh.Mnyika, ktka Chama Cha Mapinduzi hakuna utamaduni wa kubishana kwa maandishi. Wanabishana kwa midomo tu. Na kesho yake unahaki ya kukanusha yote kwa neno moja tu nilinukuliwa vibaya. So don't argue with them.
Ridhiwani ni wakili, atuambie kwanini aliondolewa EMMA advocate. Tupo ozoefu wako wa mahakamani umeshinda kesi ngapi ambazo wewe mwenyewe ulisimama mbele ya hakimu au jaji sio za kampuni yako?
Ukionana kwenye maeneo yasiyo rasmi na wazee wa EMMA advocate wakikusimulia jinsi yank alivyo kichwa huyu utadata.
 
Afadhali. Lakini Mkuu John Mnyika,napmba niulize maswali madogo mawili ya uelewa:

Kwanza,ufaulu wako kidato cha sita ulikuwaje pale Tambaza?

Pili, uliahirisha masomo yako UDSM;lini utamalizia?

Asante.

Wewe ndugu yangu Petro E. Msekwa, mbona hilo swali lako limeshajibiwa tayari. Kama hujaelewa, soma tena nukuu hiyo kutoka kwa mnyika:

Tangu mwaka 2012 na 2013, nimekuwa kwenye mtanziko mwingine na viongozi wangu ndani ya chama wanafahamu; niliomba kuachia majukumu mengine yote katika chama ili nibaki na ubunge peke yake niweze kuwatumikia wananchi wakati huo huo niendelee na masomo zaidi ya elimu ya juu katika fani inayoendana na kazi ninayoifanya ya sasa na matarajio yangu ya baadaye.

Hata hivyo, kwa mwelekeo huu wa Serikali na CCM leo nieleze tu kwamba nikifanya hivyo itakuwa faida zaidi kwa watawala tunapoelekea mwaka 2015; hivyo, nimeamua kama nilivyoamua mwaka 2005; kwamba nitarejea masomoni baada ya CCM kuondoka madarakani na Tanzania kupata Serikali mpya itakayoongozwa na CHADEMA. Kwa sasa nitaendelea kujisomea kila siku ninapopata wasaa kwa kuwa elimu haina mwisho.
 
Kwahiyo wewe hujibu hoja mpaka uulizwe na Ridhiwani!!!
Hata hivyo umefanya vizuri kusema ukweli kuwa HUNA DEGREE...
 
Njoo Riz1 utuambie baba yako masters aliisomea wapi mpaka leo ana PhD?Uje utuambie hapa Kile kituo cha mafuta pale Kibaha ambacho mmeweka majina yenu kwa ufupisho DELINA japo tunajua ni Devis,Lizione na Nape mtuambie pesa mmetoa wapi?Alafu kuweka mapicha ya tembo na matwiga ni kuwafanya wateja wa wenu Meno ya Ndovu na wanunua twiga wajue kijiwe chenu kilipo sio?Njoo hapa ujibu
 
Back
Top Bottom