Majibu kwa Nape, Ridhiwan Kikwete na wengine kuhusu elimu yangu na niliposoma

Majibu kwa Nape, Ridhiwan Kikwete na wengine kuhusu elimu yangu na niliposoma

Mkuu jj dose hiyo inatosha ni kuyapuuza tu hayo mapropagandist vilaza nnape na rizone ambao wanatumia advantage za baba zao kuweka heshima mjini
 
Katika harakati zako za kila siku na uwezo ulionao ningekushauri umalize Degree yako na hata uendelee ufanye MBA kwani unaonyesha kichwa kipo vizuri.Punguza mzigo wa kazi rudi shule mdogo wangu bado taifa lako linakuhitaji kama msomi.
aisee sana tu kama ndio ana record hiyo huko nyuma ni asset ambazo lazima zitimize potential zao.
 
Watafute lingine wameacha mambo ya msingi wanauliza ujinga
 
Afadhali. Lakini Mkuu John Mnyika,napmba niulize maswali madogo mawili ya uelewa:

Kwanza,ufaulu wako kidato cha sita ulikuwaje pale Tambaza?

Pili, uliahirisha masomo yako UDSM;lini utamalizia?

Asante.

Hata kusoma hujui? Kakuambia alipata Daraja la pili. (Division TWO)
 
Last edited by a moderator:
nape umevurugwa....! riz one wewe hustahili kujibiwa mpaka baba yako akiondoka madarakani utakwenda kujibu... ze hegue!
 
1. Ingekuwa John Mnyika amebakishwa kuwa mhadhiri wa chuo, ningekuwa wa kwanza kujua si tu kwamba ana degree lakini ya GPA gani!

2. Lakini kwa kazi yake aliyoichagua hakuna uhitaji wa kuwa na degree! Nashangaa watu wanaong'ang'ani na kuchekelea kuwa hana degree! Wao wanazo ngapi? Na zimeifanyia nini nchi hii?

3. Mimi naona Mnyika amefanikiwa alichotaka. Malengo yake yalikuwa kuwa na nafasi ya kusimamia mabadiliko na sio kupata degree. Sasa kama amefanikisha lengo lake, kinachohitajika ni ziada ya elimu maana haikuwa kigezo cha yeye kufika alipofikia. Tunao viongozi wengi wa kitaifa ambao walikuwa ile batch ya kwanza ya Open. Hawa wengi wao wameandikiwa dissertations na project zao. Ukiangalia uwezo wao, wapo chini sana ya Mnyika. Ni vyema tuwe objective tukiachana na personal attacks. Hazitupeleki popote kama nchi!
 
Last edited by a moderator:
Huyo kijana (Mnyika) namfahamu vilivyo ana uwezo mkubwa sana kuliko hao wote wanaopiga kelele. Wapiga kura wa jimbo la Ubungo wanamkubali sana huyo dogo kama sikosei wasomi wengi wenye madigrii wapo jimbo hilo na ndiyo hao hao waliompigia kura kwa sababu anajua kujenga hoja na ni mpiganaji hodari. Hapa kinachofanya kazi ni elimu siyo vyeti, kama ni elimu Mnyika ana elimu ya ngazi ya profesa. Hao munaofikiri wana elimu na wako bungeni wametufanyia lipi la maana. Dogo Mnyika wapiga kura wako tunakuthamini na tutaendelea kukuunga mkono katika juhudi zako za kulikomboa jimbo la Ubungo na Taifa kwa ujumla. Mungu hakujalie afya njema
 
A tisa, baba yake Riz1 alipata D ngapi? Naamini kile kichwa hakina A
 
Inabidi usome insha yote kuelewa kuwa Mnyika HAKUMALIZA degree yake ya BBA.
Niliyo highlight in red ndiyo uthibitisho.

Mimi nitamtafuta kumchangia atakapotaka kumaliza. Tatizo la wakosoaji wake ni kuwa wanashindwa kuunganisha hiyo elimu na ufanisi wake zaidi ya kujaribu kumchafua majukwaani bila malengo wala mkakati wenye tija. USISAHAU KUPANGA NI KUCHAGUA. Kwa sasa amepanga amejipanga vizuri na amechagua kilicho chema. Respect sana JJ.

Kijana ni intelligent ila naona priorities in life kitu ingine, na katika hali hiyo hiyo na wakati huo huo wenzake walimaliza pamoja na matatizo yaliyopo.

Ni intelligence iliyompa fursa ya kufanya maamuzi magumu na yenye tija. Yaani Jamii inamtambua kwa mema na jitihada zake. Na kushambuliwa na mavivu akina Nape/Riz1 yanamsogeza chura kwenye safari na mafanikio yake.

CCM bwana pipa la taka kwa kila mtu mwenye matatizo yake siku hizi!

Ndivyo ilivyojiunda na kuasisiwa na mamburula
 
Huya riz1 hana uwezo wa kusimama mahakani, muhuri alipata kwa jina la baba yake.
Kabla hajafukuzwa kwenye chamber ya IMMA hakuwahi kukanyaga mahakamani wala kudraft walau affidavit.
Kazi yake kubwa ilikuwa ni kwenda dukani kununua LUKU na rim papers kwa ajili ya kazi za ofisi.


Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
Tumsamehe baada ya 2015 ndio atajua watz vijana wanamchukiaje .

Angalizo ni kwa wale wenye miradi jointly na Riz watakumbwa na hiyo gharika ,so 2016-2017 gharika itakuwa zaidi ya azimio la arusha
 
JJ Mnyika kumbe nafsi na roho yako imeamua kwamba wewe ni kiongozi wa kusaidia nchi hii kupata ukombozi wa nchi yetu sikujua umesacrifice kiasi hiki,sikujua kwamba wewe ni tunda lenye tunu kati ya wanachadema
tumesikia wengi hapa wakija wakisema jasho na damu zao zimetumika kujenga chadema
lakini kijna mwadilifu sana hujawahi kuja ukatanua mapafu kujisifu lakini kumbe umetenda mengi kuendeleza ukombozi kwenye nchi hii
tulikuwa tunashangaa kukuona mwaka 2005 na 2010 kwenye TV na Mzee Prof Baregu mukibeba sura ya chama wakati wa uchaguzi
Mimi niseme tu tunakuombea kwa Mungu akupe nguvu,hekima na busara utende mema katika ukombozi wa pili kwa nchi yetu
tukikamilisha ukombozi utarudi kumalizia shule pale ulipoishia
 
Safi sana Mnyika...Mie pamoja na vidigrii vyangu sijawahi kufikia grade kama zako mkuu...Na hakuna cha maana sana nilicholifanyia hili taifa zaidi ya kubeba mshahara tu mwisho wa mwezi....

Safi sana mkuu ...safi sana KAMANDA.....
 
@ohn Mnyika Chapa kazi kamanda,kwa maelezo haya nimegundua,kama ni mifano ya mimea
WEWE=MWEMBE
RIZIWAN=mpesheni
Namaanisha kuwa mwembe hujitegemea mpaka kufikia kuzaa matunda lakini mpesheni lazima uwepo mti wa kupandia
Riz kaparamia kwa baba yake na NEC hata sasa yuko mgongoni(Kumbuka usemi wa MH.Lipumba 'BMW' uchaguzi mwaka 2010)

Kwa habari ya CV, wataalam wa CV watanielewa,neno ''university drop-out'' siyo jipya kwenye CV za watu
Angalia mtaalam Bilgate mmiliki wa microsoft-mlinganishe na wasomi wetu wa kupinga meza bungeni na kusinzia afu uje hapa na majibu.
 
Sidhani nchi hii yupo mbunge aliyepigiwa kura nyingi na watu walioenda shule kama jimbo la Ubungo, kama kura zingekuwa zinapewa thamani kwa kuangalia nani kapigiwa kura nyingi na wasomi wasiohongwa pilau na vipande vya ngulu basi Mnyika ni top, unabisha?
 
Njoo Riz1 utuambie baba yako masters aliisomea wapi mpaka leo ana PhD?Uje utuambie hapa Kile kituo cha mafuta pale Kibaha ambacho mmeweka majina yenu kwa ufupisho DELINA japo tunajua ni Devis,Lizione na Nape mtuambie pesa mmetoa wapi?Alafu kuweka mapicha ya tembo na matwiga ni kuwafanya wateja wa wenu Meno ya Ndovu na wanunua twiga wajue kijiwe chenu kilipo sio?Njoo hapa ujibu
 
Umeeleweka mkuu nadhani sasa Topic Closed na tuelekeze nguvu kwenye mijadala yenye manufaa kwa taifa.., pole sana kwa hawa jamaa kukupotezea muda, ila kwa majibu yako umeonyesha ni vipi umeelimika
 
mbali na hayo na mimi nnaanzisha mjadala nataka kujua Nape na ridhiwani walipata matokeo gani 4m 4????
 
Back
Top Bottom