Majibu kwa Nape, Ridhiwan Kikwete na wengine kuhusu elimu yangu na niliposoma

Ridhiwan nawe anika elimu yako tuione, na vile vile Nape nawe uanike elimu yako tuione, nyie wote wawili tunataka tuone Cv zenu maana isije mkawa mmetumia nafasi za wazee wenu kujipatia vyeti bila kwenda Shule.
 
Kwanza nikubaliane na wengi kwamba Mh. Mnyika anajua kujipanga, kuandika vizuri sana na kwa utulivu wa hali ya juu. Pia amejaa busara na uewela wa anachokisema. Nimesoma mwanzo mwisho nikidhani ndio kwanza naanza. Nikiri kwamba Mheshimiwa ana bongo sio kawaida. Ingekuwa kwingine duniani, serikali na jamii kwa ujumla ingemwandaa kutumika kwa faida ya wengi. Katika ujana wake ameweza kuwa na maamuzi magumu, tena kwa utulivu. Lakini kupata "A" tisa nimeshtuka sana! Sio kawaida. Wewe ni mmoja wa viongozi adimu. Mungu akulinde na akuongoze bila kujali una mapenzi na chama gani. Ndio maana bungeni nilikuwa nashangaa ukisimama Spika anakuwa attention kuliko kawaida na hoja zako nyingi nilitokea kuzisoma kwa urefu. Sikujua wewe ni mtu wa namna gani. Huwa napenda Kiongozi wa siasa anayeongea realistically na sio ushabiki. Wewe hapo uleshavuka. Bravo!
 
Mnyika kwanza pongezi sana mbali na kujieleza vizuri,kweli wewe ni mpiganaji wa hali ya juu nilikuwa najiuliza kila siku uwezo wako wa ufahamu na uelewa wa mambo umefikaje level hiyo ukilinganisha na umri ulio nao leo nimefaham kuwa hukuanza leo wala jana harakati zako na hazina mbeleko ya mtu yoyote ni juhudi zako binafsi Mungu akubariki sana simamia kweli na kweli itakulinda daima


Pili narudi kwa Nnauye, wewe Nape kama una weza kujieleza kwa maandishi kama alivyojieleza Mnyika hapa leo bila kuweka pumba,kebehi na madharau yoyoye nakunywa sumu naamini kwa Mungu mmoja uwezi na huna uelewa huo wa kujieleza kwa maandishi vizuri namna hii,Pia tunakuomba na wewe utufahamishe elimu yako kuanzia msingi mpaka chuo na grade ulizopata na pia kama utaweza tunaomba utueleze kuhusu familia yako kama ulishaipata.Asante
 
Tuliopitapita shule yatupasa kutoa heshima na pongezi kwa huyu kijana, kuongoza mkoa wa Dar na kupata A 9 O-level ni vigezo tosha kuonesha kijana ana upeo mkubwa wa kuelewa, na hata hoja anazojenga na kutetea bungenini ni ushahidi tosha wa hilo, AG pamoja na ukorofi wake lakini nimemshuhudia akitamka bungeni kuwa anaheshimu sana mawazo ya Mnyika na mara kadhaa alikubari bila ubishi marekebisho ya vifungu vingi vya miswada vilivyoletwa nae, ata Lukuvi naye alimpongeza bila kinyongo kuwa ni kijana mwenye busara na mjuvi wa kujenga hoja zenye mashiko wakati anamshauri afute kauli kuwa rais ni dhaifu na bunge na ccm ni wa hovyo. Kwa vigezo hivi wanaohoji elimu yake wanajifurahisha tu, nampongeza Ridhiwan amekuwa muungwana na kukubari yaishe.
 
I think you have cleared the air,and i can also see that Rizone amekuwa mstaarabu kwenye reply yake,which is the gud think i wish Nape will also do the same,coz upinzani sio kugombana bali ni kukosoana,as wote lengo lao ni kuwasaidia watanzania,
GOD BLESS TANZANIA,GOD BLESS THE TANZANIANS
 
RIz moko angeanza kumsaidia mdogo wake mwanaasha elimu na si kuongelea elimu ya mtu ambaye tumeona mchango wake katika nchi hii kimawazo na vitendo.

so riz mdogo wako mwanaasha anafanya nini hivi sasa?
atakuwa alirudia tena na nadhani mwaka huu necta wameondoa majina kwa adha aliyopata mwanaasha last year
 
sasa ccm wamekosa la kufatilia eti mnyika kasoma mpaka darasa gani,afu ikiwa form ,IV ndo atakuwa so mbunge au hoja murua zitakuwa batili waache upuuzi CDM / M4C mi maendeleo kwa wote
 
kuna binadamu wa ajabu sana humu, ku-quote hoja ya mnyika kwa sentence mbili tuu ni usumbufu kwa sisi wenye mobile
 
sasa tunahitaji kujua na hizo cv za ridhi one safari zao kuanzia shule ya msingi hadi walivofika chuo hasa bwana nape.,
 
Hapa hatutukanani bali tunapambana kwa hoja.....Hebu kaka Nape na wewe tueleze Elimu yako ili tujue kilichojiri upande wako na si kusikiliza wenzio. nakutegemea usiniangushe.
 
Hawa ndio vijana wa CDM, kwanza font imetulia..... Nondo na misimamo ya maisha na harakati vimetamalaki....

Hakuna jazba

Hakuna kejeli

Wangekuwakina nanihii hapa wangeadika kwa caps lock, mapovu na vijembe...

Hongera Mkuu!!
 
kaka ukisikia mtu alipata div one ya point 7 tena yenye "A" 10, Usithubutu kumuuliza elimu yake utaaibika bure. mimi nakumbuka tukiwa form four kuna jamaa wawili walipat point 9, mmoja ni lecturer chuo kikuu kimoja UK na mwingine ni Lecturer hapa mlimani kitivo cha uhandisi, huyu tuliwa form two tulikuwa tunamwita engineer maana anaelewa kila kitu anachoulizwa kweye exam, - wote ni madaktari.

Mimi ningekuwa mnyika sidhani kuna umuhimu wowote wa kusoma ili kupata vyeti, nafikiri kusoma vitu ambavyo anaona vitamsaidia katika majukumu yake that it. kwani anavyovijua hadi sasa ni Phd holder tosha.

Sisi waungaji ungaji wa elimu ndiyo tunahangaika na MBA za utu uzima - kukesha na madesa walau vyeo vipande maofisini - ha ha ha
 

Kamanda wangu Mnyika ingekuwa vizuri ungewaekea na uthibitisho wa hizo A tisa ulizopata kumaliza ubishi. Ki ukweli wewe una Elimu ya chuo kikuu ila huna cheti maana uwezo wako unadhihirisha, ila waliowengi including Nape wana cheti cha chuo kikuu na si elimu ya chuo kikuu
 
Ni kawaida ya hawa vibaraka wa ccm kuzima hoja za msingi kwa hoja za kipumbavu zisizo na tija wala mashiko mbele ya jamii.... kaz buti jemedar wetu!.
 
nape njoo na wewe utuambie ulifanyafanya vipi huko primary mpaka ulipofikia kielimu.
 
Kweli mh.mnyika ni geneous,namfananisha na tajiri mkubwa wa marekani bill gates aliyeamua kuacha chuo kikuu havard na kuanzisha kampuni ya microsoft,kwa mambo aliyoyafanya anastahili kupewa phd bahati mbaya wanaopewa hizo phd ni wale viraza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…