Majibu kwa Nape, Ridhiwan Kikwete na wengine kuhusu elimu yangu na niliposoma

Ulifanya mature entry exam au uliingia chuo kwa sifa ipi kiongozi
 
Mwisho nimuhakikishie, ni jukumu la CCM
kuhakikisha kuwa maji yanapatikana Jimboni
Ubungo na tutayaleta. Kubwa zaidi akumbuke
ilani yetu ni ya miaka mitano na maji yatafika
pale kabla ya 2015.

Na Ridhiwani kikwete.

Mbona ahadi hiyo bado haijatufikia?
 

Sikiliza ndugu. Hakuna anayemponda John Mnyika kwa kukosa degree. Kuwa na degree inategemea zaidi nafasi ulizozaliwa nazo katika maisha kuliko uwezo wako wa kitaaluma. Kinacholeta matatizo ni kwanini aliwadanganya wapiga kura wake kwamba ana degree ya udsm wakati siyo kweli.
Kama huelewi suala zima la leadership ethics and integrity ndiyo utakuwa unasema hayo uliyoyasema.

He needs to come clean and declare that he told lies to be elected.
 
Hizi ni package za maana...watu consciouss hata badae akitangaza nia ya urais ataeleweka nani asiejua harakati za huyu bwana mdogo? hata wakina mama na mabibi wanamfahamu! big up dogo
 

Mkuu sometimes kuwa intellectual japo kidogo, makelele matupu hayatakufikisha popote, majibu ya mnyika yapo direct na walioanzisha hiyo mada ni Nape na Riz1, na Riz ashakubaliana na Mnyika kuhusu elimu yake. Na ukikaa miaka mitatu chuo huko magharibi unapewa "associate degree". Mnyika kasema mfumo mbovu wa serikali ya CCM um.etufikisha hapa,kafanyiwa zengwe sana lakini jamaa katusua.
Sasa ushauri wangu kwako: lete audio ya Mnyika alilodanganya wanaubungo,huo mkutano alifanyia wapi, halafu hoja yako itakuwa valid, manake JJ mwenyewe amekanusha hajawahi kuwadanganya, ila we unashupalia bila data, so weka audio otherwise piga kimya mkuu.
 
Myika alikuwa mwizi wa kutuibua mabwenini mpaka akafukuzwa leo eti anajifanya kasoma degree gani aliyokuwa nayo kama si ya wizi.
 
Hivi rizone na nape walipata "A" ngapi mtihani wa kidato cha 4, nataka tuanzie hapo. Kijana kagonga A tisa??? shaaaabashi. Nina uhakika nape hajafikisha hata c mbili, atakuwa na D kurudi nyuma

Hakuna mtu ninaye mdharau kama Nape.huyu jamaa ni mpumbavu SANA sijapata kuona.
 

Nimesoma vyuo viwili vya magharibi. Wapo waliokaa miaka mitatu na hawakupata associate degree wala degree ya aina yoyote ile.
 
Myika alikuwa mwizi wa kutuibua mabwenini mpaka akafukuzwa leo eti anajifanya kasoma degree gani aliyokuwa nayo kama si ya wizi.

Naona umekosa hoja umeanza kuweweseka ovyo kabisa. Eleza fact hapa acha ubabaishaji.
 
Watanzania wakikosa la kusema utawaona tu!!! Wao wenye digrii halafu ni mafisadi na wazandiki je ni bora kuliko mzalendo asiye na digrii? mbona BILL GATE amefanya makubwa lakini aliondolewa chuoni!!! magamba wenye digrii je? tena hawa wangefutiwa digrii zao!!
 

Ukweli mi kwamba, John Mnyika degree hana.

Rejea kusoma majibu ya John Mnyika kwa makini kabisa na 'point out' ni wapi alipodai kuwa ana degree?

Here's free advice for you. You need to learn how to read and eventually you will improve your intellectual level and ability to analyze information and make a comments (like your participation in the forum such as JF)
 

I think your advice would be worthy to someone who does not have a degree and pretends that he does.
 
Mkuu, hujui kuwa Riz ana Degree ya Sheria kutoka Chuo Kikuu UDSM a.ka. Chuo Kikuu Cha Ubungo?. Ni Advocate pia!

Alipiga DISCO KWANZA, aelezee pia ni namna gani ile DISCO ilipotea ghafla
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…