Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
- Thread starter
- #21
Umeshaongea.
Ni heri tuokoe fedha za walipa kodi wa nchi hii tusifanye hizo chaguzi kuliko ilivyo sasa ambapo hatuna uchaguzi bali uchafuzi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeshaongea.
Kwa kuenguliwa kwa Wagombea takribani 60,000 wa CHADEMA kwenye uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa Novemba, 2024 ni uthibitisho tosha kuwa hakuna reforms za kweli zilizofanywa kwenye Sheria za Uchaguzi. Ilikuwa ni danganya toto tu.Naunga mkono hoja.
Kama uchaguzi wa mwaka jana ungefanyika kwa namna ambayo ingewaridhisha wapinzani mwaka huu wangekubali kushiriki uchaguzi Mkuu kwa Katiba na Sheria hizi hizi za uchaguzi.
Huu ni ukweli usiopingikaCCM ndio watakuwa wa kwanza kuleta machafuko kwenye hii nchi ya JULIUS KAMBARAGE NYERERE.