Pre GE2025Majibu kwa Wasirra na Makalla: Sehemu pekee iliyopaswa kutuonyesha Marekebisho ya Sheria mlizofanya hazikuwa hadaa ni Uchaguzi wa Novemba 2024
Kama uchaguzi wa mwaka jana ungefanyika kwa namna ambayo ingewaridhisha wapinzani mwaka huu wangekubali kushiriki uchaguzi Mkuu kwa Katiba na Sheria hizi hizi za uchaguzi.
Kama uchaguzi wa mwaka jana ungefanyika kwa namna ambayo ingewaridhisha wapinzani mwaka huu wangekubali kushiriki uchaguzi Mkuu kwa Katiba na Sheria hizi hizi za uchaguzi.
Kwa kuenguliwa kwa Wagombea takribani 60,000 wa CHADEMA kwenye uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa Novemba, 2024 ni uthibitisho tosha kuwa hakuna reforms za kweli zilizofanywa kwenye Sheria za Uchaguzi. Ilikuwa ni danganya toto tu.
Mama Samia acha kuwasikiliza hao Wapambe, hata Nyerere na Mzee Mkapa walidanganywa...Ita Wapinzani , ongeeni na fanyeni marekebisho madogo ya Katiba ili kuruhusu Uchaguzi huru na wa haki