Majibu niliyopewa Wiki Mbili na Leo pia na Mtabibu wa zamu juu ya Mpwa wangu yamenichanganya naombeni Msaada wa Kuyaelewa tafadhali

Nauguliwa na Mpwa wangu nashangaa unanitajia Mtu mwingine ambaye bahati mbaya hata haugui ( haumwi ) kwa mujibu wake Waziri Mkuu Kassim Majaliwa na Makamu wa Rais Samia Hassan. Acheni Viherehere na Kuwashwawashwa
Mbona inaeleweka unamaanisha nini hakuna mtoto humu.
Mpe pole mpwa.
 
Nini
Coment zako ww n za kichochez unaona uz unaongelea mpwa ww unaanza mitazako yako mara ooh lulu mambo ambayo hajayaongelea mleta mada
Elezea maana ya neno uchochezi,ni kama unaandika hujui maana yake.
 
Wewe unado nini hapa?
Umeniajiri au umekariri.
Sasa mnadhani kuna mtu hajui mnamaanisha nini.
wewe punguza mahaba ya kishamba eti tz tunataka corrupt leader wewe tenda za kujenga uwanja wa ndenge chato hospital na zile anazogawa barabarani hela zinatoka wapi zimeidhinishwa na bunge gani we piga kimya acha kuharibu uzi wa mwenzako
 
Eti kisa hawaajiriwi kama kipindi cha JK,watz bhana.
 
Unaweza kuweka Ushahidi usio na chembe ya Shaka kuwa huu Uzi unamuhusu huyu ( huyo ) Mtu wenu na siyo Mpwa wangu? Kuna Watu mnanitafuta endeleeni tu mtanipata very soon Wapuuzi wakubwa nyie.
Mkuu mimi mwenyewe nimeshangaa rais wangu anatajwa kwenye thread ya Mpwa wako. Tena kwa laana si ndio nikajikuta najazibika kuikana laana yake huyu Mkuu Trese!!

Turudi kwa Mpwa....... familia yake iko wapi kwani? Au alikuwa hajawowa?
 
mkuu usitukusanye kapu moja ya haya mapunga yenye hasira za kukatiwa mirija ya upigaji.

tunaomtakia mema tuko wengi kuliko haya mapunga sese 10 na kitu.
 
Tulipewa..... What do u mean mkuu, mbona na ww kama unaleta taharuk sasa.......
Tujuze kama tumesha pokoNYwa uslete mafumbo[emoji848][emoji848]
 
Toa pumba zako hapa labla mataga,
Labda aongoze Mererani lakini sio marekani.
Acheni kumpa mtu sifa ambazo hana alaaaa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…